MADHARA YA BINT ANAYEJIPELEKA KUISHI NA MWANAUME
SOMO;MADHARA YA BINT ANAYEJIPELEKA KUISHI NA MWANAUME AMBAYE HAJAMTOLEA MAHALI.
•••••••••○○○••••••••●●●
Mstari wa kusimamia
_______________€
Kumbukumbu la Torati 5:18
[18]Wala usizini.
Neither shalt thou commit adultery.
Karibu ujifunze Bint mwenye maono ya ndoa Au kujenga familia Bora Yenye hofu ya Mungu. JILINDE USIZINI WALA USILE PESA ZA MWANAUME NI HERI UCHELEWE KUOLEWA Kuliko uolewe ukiwa unazini sifa ambayo mbaya Sana Kwa Mungu ni mwanae kuzini kuolewa hataki kuowa hataki kuzini anataka Kosa kubwa.
HAYA NI MADHARA UTAKAYOYAPATA BINT MADHARA MENGI YAPO KWAKO KULIKO KIJANA.
1;Kwanza utavaliwa na Jini Anzura huyu jini humzuia mtu asiolewe omba uombavyo zunguka makanisa na makanisa ndoa utaisikia tu mpaka ukutane na anayejua kukufungua.
2.Utadharaulika kwa kijana atakufanyia vituko na atakuona umejirahisha kwake hata kama wewe umempenda.
3.Utapoteza malengo yako na mwelekeo mzima wa maisha yako.
4.Utaruhusu milango ya matatizo iwe mingi mara magonjwa ya wanawake,mara tatizo hili yote yataingilia kupitia mlango wa kuzini.
5.Mambo mengi utaombewa hayatafunguka kutokana na mlango wa kuzini.
6.Utakuwa unaanzisha mahusiano yanavunjika mara kwa mara
7.Utakuwa mtu utakayekuwa na laana za kiafya na uchumi.
8.Wengi Sana hawaolewi kwa ndoa kutokana misingi ya mahusiano walianza kwa kuzini hata wakija kuambiana wakatowe mahari mambo yanaharibika.
9.Mungu anarusu uendeshwe na kuzini kuliko ndoa
10.Wewe Bint ndiye mwenye kuamua maisha yako.
Mstari wa kukanzia somo
°°°°°°°°°°•••••••••
Mathayo 5:27
[27]Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;
Ye have heard that it was said by them of old time, Thou shalt not commit adultery:
HITIMISHO
Tutafika Pamoja na kuujenga utukufu na ushuhuda wa kristo endapo tutakimbia kuzini acha kulazimisha kuzini au uzae mtoto asiyekuwa na Baba kisa unakimbilia kuolewa umeona shuhuda za Pastor Richard watu wakiolewa ukachukulia rahisi Sana waliewa hichi nachokifundisha.
Sifa kubwa ya wanaume waoaji tunaotaka tuowe huwa hatutaki kuzini nawewe mpaka ndoa tumefunga ukikuta kijana anakuambia mini ndiyo akuowe Ujue huyo hakuowi.
Wito
Tumia namba hizi
WhatsApp Pastor Richard +255759861768
Omba ushauri Fika Kanisani ufunguliwe
Maoni
Chapisha Maoni