JINSI Ya Kutoa fungu la kumi madhabahu ya moto wa Yesu
SOMO;JINSI YA KUTOA FUNGU LA KUMI KWA UAMINIFU.[ KANISA LA HOLY SPIRIT MINISTRY TANZANIA.(K.H.M.S.T)
Naitwa Bishop Richard Naishi Morogoro Nchini Tanzania 🇹🇿 Africa 🌍
Karibu katika ufafanuzi na elimu ya nguvu ya fungu la kumi.
Kumb la Torati.14;22 ,28:1-24 Luka.18;12 Malaki;3;10
1 Samweli 8:17
[17]Atawatoza fungu la kumi la makundi yenu; nanyi mtakuwa watumwa wake.
Linalenga kwa watoto wa Madhabahu Ya Moto Wa Yesu wanaotuma mafungu yao au Zaka zao
Kumbukumbu la Torati 28:2
[2]na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya BWANA, Mungu wako.
Hapa natoa maelekezo tu jinsi ilivyo muhimu kujua Faida na Hasara Za Kutoa Zaka Kwa Uaminifu wa Bila Kurukaruka
FAIDA ZA MTU ANAYETOA FUNGU LA KUMI KWA UAMINIFU KILA MWEZI
1-LAZIMA AJIBIWE MAOMBI YAKE NA AONE MABADILIKO
2-LAZIMA KILA OMBI LAKE LIAGUSHE UTAWALA WOTE WA FALME ZA NGIZA
3-KILA KAZI ATAKAYOFANYA ITASITAWI
4.ATAFANYA KITU KINDOGO KITAMPA FAIDA KUBWA.
5-HATADHULUMIWA, HATAPOTEZA VITU,HATAACHISHWA KAZI GAFLA
6-ATAKUWA NA NGUVU YA KULIPA MADENI HATATESWA NA MADENI.
NK
HASARA ZA YULE MTU ASIYETOA FUNGU LA KUMI KWA UAMINIFU.
1-ATAFANYA KAZI ASIONE FAIDA
2-BIASHARA PESA MSHAHARA MALI ZAKE ZITATEKETEA ASIJUE PESA ZIMEISHA VIPI.
3-HATAFANIKIWA KATIKA KAZI ZAKE
4-Magonjwa Yatamtesa mara kwa mara
5.Utaona mambo yako yanaanza kuharibika sana
6.Mambo Yataibuka yatakayosababisha Utumie Pesa
MIPANGALIO YA UTOAJI SAHIHI YA FUNGU LA KUMI
KAMA UNAFANYA KAZI
MSHAHARA NI 800000 laki nane
Unakatwa makato na madeni mbalimbali
Unabakiza 250000 Utapigia hesabu ya mshahara wako halali yaani laki nane kwenye laki nane utatoa themanini. Kila mwezi
KWA MKULIMA KWA MWAKA ANATOA KULINGANA NA MAVUNO
KILA DEBE LA NAFAKA ANATOA SADO 1
KILA JUNIA ANATOA DEBE 1
ANAPELEKA KANISANI
KAMA MFANYABIASHARA NA MJASILIAMALI
Unajumuisha mauzo yako kuanzia Tar 1 mpaka 30
Kisha unatoa 1/10 mfano umeuza 300000 Mwezi mzima utatoa 30000 kwa Bwana kila mwezi utaliombea kwa habari ya duka lako au Biashara
KAMA HUNA KAZI UNATAKA UTOE ZAKA
Utaenda kushuhudia watu kusafisha kanisa kusaindia kazi za kwa mchungaji utapokea Baraka hizo kupitia kujitoa
KUMBUKA FUNGU LA KUMI HUTOLEWA KATIKA MADHABAHU YAKO ILIYOBEMBA BARAKA ZAKO MAJIBU YAKO KWA BABA YAKO WA KIROHO. USITOE NJE YA HAPO AU KUCHANGANYA
KABLA UJATOA HILO FUNGU LA KUMI
KWA WANAOTOA KATIKA MADHABAHU YA MOTO WA YESU
MUOMBE MAOMBI MATATU(3) MFANO HUU
1-NATAKA KUPITIA HILI FUNGU UKOMBOE FAMILIA YANGU NA UISAMEHE ILIPOKUKOSEA UMULIKE.
2-NATAKA FUNGU HILI LA KUMI UNIPONYE H.I.V KISUKARI MARADHI UJENGE AFYA DANI YANGU MIFUPA YANGU
3-NATAKA FUNGU LA KUMI HII UNIINUE KIPATO CHANGU.
Nalitoa katika madhabahu hii ya moto wa Yesu ipokee na ikatende kwangu katika jina la Yesu Sawasawa na nilivyoomba katika Jina la Yesu.Amen
Kisha Namba za Kutuma zaka yako
Katika madhabahu hii ya moto wa Yesu kwa watoto tu wa madhabahu hii Wanaotuma Mafungu Yao
~~~~~~~~~~¤¤¤¤¤¤
M-PESA+255759861768
Tigo Pesa +255710889892
CRDB BANK 🏦 0152361572400
Worldremit/west union
JINA LITATOKEA● RICHARD JULIUS KUSHOKA Nchi Ya Tanzania 🇹🇿 Mji Morogoro Neno la Siri Arusha Kwa wanaotuma kwa west union Hakikisha fomu yako unajaza majina kamili usikosee herufi.
HII INAWAHUSU WATOTO WOTE WA KANISA LA HOLY SPIRIT MINISTRY TANZANIA YAANI ( KANISA LA HUDUMA YA ROHO MTAKATIFU TANZANIA.)
₩NAKADHIA
Toa fungu la kumi kama angizo na lazima kwako (Malaki;3;10 )mambo mengi yanafungwa kwako kutokana na udokozi wa fungu la kumi.
Unalitoa katika madhabahu Mungu ambayo amekupa kama wewe madhabahu yako moto wa Yesu kwa Pastor Richard utatoa hapohapo kama ni kwa mchungaji Lameck utatoa hapo hapo kwa uaminifu sana Ukiwa wa kubadilika badilika hutaona nguvu ya fungu la kumi.
MAMBO HAYA HUJIBIWA NA ZAKA
1;Matatizo ya Afya toa zaka kwa uaminifu bila kurukaruka utapona kabisa
2.Matatizo ya uchumi toa zaka tu uchumi utakaa vizuri usirukeruke uchumi utakaa sawa
3.Familia namanisha ndoa/maelewano/watoto huzai toa zaka tu utamuona Mungu
Tatizo lilopo watu hawana msimamo wa utoaji wa zaka Leo atatoa sehemu fulani kesho atatoa kwa mchungaji mwigine mara apeleke kwa Yatima wajane wakati zaka hutolewa madhabahuni unamkuta mtu anaanza kujichanganya kati ya msaada na zaka ukipeleka kwa Yatima Wajane zaka Yako ujue hiyo inahesabika msaada siyo zaka tena .
KUMBUKA KILA MADHABAHU UNAYOITOLEA ZAKA NDIYO ITATOA MAJIBU YAKO BARAKA ZAKO KILA MADHABAHU USIYOITOLEA ZAKA HUWEZI KUINDAI MAJIBU AU BARAKA IKATENDA.
Madhabahu ndiyo connection yako na Mungu.
Wito
Karibu Uaze kutoa mwezi huu ambaye umekuwa ukiteseka chanzo cha uponyaji ni kutoa zaka
Maoni
Chapisha Maoni