Bishop Richard Group

BISHOP RICHARD GROUP
KARIBUNI KATIKA GROUP LA PASTOR RICHARD 
LIMEJIKITA KUKUFUNGUA KUPITIA 
1:Kukufundisha Neno la Mungu
2;Kukujengea ujasiri wa kuomba mwenyewe na kujisimamia mwenyewe 
3;Darasa la Mahusiano yaani ndoa na uchumba 
4;Shuhuda mbalimbali  Kupitia madhabahu hii ya moto wa Yesu Mungu anayotenda
5:Ushauri wa Kiroho na Kuokoka kwa wanaokoka

Kila Ijumaa group lote huwa Tunakuwa na Maombi Ya Kufunga na Kuomba Tunaandaa Sadaka Yetu ya Maombi Ambayo Tunaiombea mahitaji matatu kisha hiyo sadaka unaituma kwenye madhabahu hii kupitia M-Pesa +255759861768 Tigo Pesa +255710889892 Bank CRDB 🏦 0152361572400 West union Jina Richard Julius Kushoka nchi Ya Tanzania 

Jinsi yakuiombea Sadaka Yako Ya Ijumaa unayekuwa umefunga unaomba hivi.
Kupitia sadaka hii ya maombi naileta kwako Mungu Baba ipokee ikaongee kwa mahitaji yangu haya matatu 
1;Nataka nipate kiwanja kabla ya mwezi huu kuisha
2;Mchumba wangu Akatoe mahari kabla ya mwezi huu kuisha
3:Nipate kazi serikalini na mshahara wangu nitautoa wote katika madhabahu hii.
Baba naomba utende nami nikushuhudie katika jina la Yesu Ameni
Kisha unaituma 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.