MAOMBI YA KUOMBA ASUBUHI UKIAMKA

MAOMBI YA KUOMBA ASUBUHI UKIAMKA
Tembea na Bwana Katika Uaminifu 
••••°°°°°°••••••°°°°°•••••••°°••••••°°°°°•••
1:Nashukuru Baba umeachila Ulizi Kwangu Usiku Kucha Endelea Kunilinda Mchana Kutwa Katika Jina la Yesu. AMEN×3

2:Naibariki Siku Yangu Kwa Jina la Baba na La Mwana Na La Roho Mtakatifu Katika Jina la Yesu. AMEEN ×1

3:Nimebarikiwa mimi na familia yangu Yote Katika Jina la Yesu.AMEEN.×1

4:Bwana ni Nuru Yangu Kila Mipango iliyokuwa imefunga itamulikwa katika jina la Yesu. Amen×4

5;Natubu  Kila dhambi niliyokutenda nikaifanya kwa kujua hasa ya Wizi wa Zaka Kanisani Niondolee Dhambi hii maana imenitenga na Baraka Zako Katika Jina la Yesu. AMEN×5(OMBA KWA UNYENYEKEVU WA KUUGULIA MOYONI JUTIA DHAMBI YA WIZI WA ZAKA AU YA KUZINI) 
.
6;Natamani Nishuhudie Ukinitendea Kama Wegine nipe moyo wa kuliishi Neno lako na sheria zako Nisizini tena Nisile zaka tena nisiwe mtu wa kutembea nawewe kwa mazoea ili unitendee kitu au kukutafuta nikiwa nashida tu ukishanijibu nakuacha au kudharau wanaoniongoza kiroho kupuuza wanachonielekeza nitakase mwanao na ile kweli yako sawasawa  na Yohana;8;37 Katika Jina la Yesu. AMEEN. ×5
(Omba kwa kumanisha acha Kuzini nakuiba Zaka maana haisaidii kitu UNAPOFANYA uzinifu na Wizi wa zaka unazuia Shuhuda zako na Baraka zako mwenyewe)

7;Natamani Bwana Nisimame Nawewe lakini mawazo yangu na moyo wangu umenidaganya nikakuacha nikawa mtoto nisiye hai sishiriki ibada au kubadilika natembea kama mfungwa nisaidie mwanao nikurudie wewe na nisimame nawe Katika Jina la Yesu. AMEEN ×4

8;MALANGO YANGU YA UCHUMI YA UZAO YA KAZI YA BIASHARA YAFUNGUKE KATIKA JINA LA YESU.AMEN×3

9;Nakataa roho ya hofu woga na kuahirisha mipango Yangu Katika Jina la Yesu. AMEEN. ×2

10:Nataka Nikae nawe Bwana Siku Zote nisitoke ndani Yako Bwana Katika Jina la Yesu.AMEN.×4

OMBA KiLA SIKU ASUBUHI 
Naitwa Pastor Richard 
WhatsApp +255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.