SOMO;MUNGU WA FOMULA
SOMO ;●MUNGU WA KANUNI KATIKA UTENDAJI WAKE
___------____-----____--____------___^^^^^^^*****
Mungu wetu hutumia Kanuni rahisi Sana Kutembea nasisi Watoto Wake Isipokuwa sisi Wanae hatuna Uelewa Kuhusu Fomula au Kanuni Za Mungu Basi Nakukaribisha Baadhi Naenda Kuzieleza.
Karibuni Tujifunze Kanuni za Kimungu Katika Kitembea naye.
1:UKIKATA TAMAA
KANUNI YA MUNGU ANAKUACHA KUKUTETEA UNASHINDWA NA ADUI USIJIBIWE ULICHOOMBA.
MAOMBI YAKO ANAMJIBU AMBAYE HAJAKATA TAMAA. Wewe anakuacha na hivyo mpaka uje uache kukata tamaa au kumunug,unikia
Mhubiri 2:20
[20]Kwa hiyo nikageuka kukata tamaa moyoni mwangu juu ya kazi yangu yote niliyojishughulisha nayo chini ya jua.
2:USIPOOMBA MUNGU HAKUPI HITAJI LAKO
KANUNI YA MUNGU HAKUPI HAJA YAKO KAMA HUOMBI
ANAMPA AOMBAYE NDIYO ANAMJIBU WALA HAJISHUGHULISHI NAWE AMBAYE HUTAKI KUJISHUGHULISHA NAE
Ukimuomba lazima Akupe utakacho au haki yako
Yohana 15:7
[7]Ninyi mkikaa ndani yangu, na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni mtakalo lote nanyi mtatendewa.
3:UKIWA MWIZI WA ZAKA KWENYE MADHABAHU ALIYOKUPA
KANUNI YA MUNGU ANAFUNGULIA UHARIBIFU KWENYE HAYA YAFATAYO
1:Familia inakumbwa na MAGONJWA.
2:Afya Inaanza Kuteteleka
3:Uchumi Unaanza kuharibiwa
Unachotakiwa Utoe zaka kwenye madhabahu yako kwa uaminifu kila mwezi haijarishi upite katika wakati ngani toa zaka.
1 Samweli 8:17
[17]Atawatoza fungu la kumi..
Kitabu kigine;Malaki:3:10
4:LAZIMA UJENGE MADHABAHU YAKO ILIYOBOMOKA
Usipojenga Madhabahu Yako Yaani Usipojenga mahusiano manzuri kati yako na Mungu wako lazima Utakuwa unaombewa na kuomba hutendewi kwa kuwa huna mahusiano na Mungu
Ujifunze kwa Elia.
1 Wafalme 18:30
[30]Kisha Eliya akawaambia watu wote, Nikaribieni mimi. Watu wote wakamkaribia. Akaitengeneza madhabahu ya BWANA iliyovunjika.
5;UKIKATAA MAFUNDISHO ANAKUNYIMA MAARIFA NA UTASHINDWA NA ADUI KWA KUKOSA UFAHAMU WA TATIZO AU MAARIFA YA UFUMBUZI WA TATIZO
Mungu anataka ufundishwe Neno lake kutoka kwenye Biblia Takatifu ufanyie kazi unachofundishwa na watumishi wa Mungu.
Mithali 8:10
[10]Pokea mafundisho yangu, wala si fedha,
Na maarifa kuliko dhahabu safi.
Receive my instruction, and not silver; and knowledge rather than choice gold.
6:UKIZINI MUNGU ANAKUACHA.
KANUNI Ya Mungu Anafungulia
Mapepo, Uharibifu wa ngozi yako,Kujichukia mwenyewe,Magonjwa,no
Mathayo 5:27
[27]Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;
7:USIPOFANYA KAZI MUNGU HAKUBARIKI
KANUNI YA MUNGU HAKUBARIKI
Kumbe ili ubarikiwe fanya kazi kwa Bidii jitume acha kulala na Kukaa tu bila kazi.
Zaburi 127:1
[1]BWANA asipoijenga nyumba
Waijengao wafanya kazi bure.
BWANA asipoulinda mji
Yeye aulindaye akesha bure.
HITIMISHO
Hizi ni Baadhi Ya Kanuni za Mungu
Ipo hivi Mungu hawezi Kuacha Kazi Kwa Ajili Ya Mtu Ambaye hamuombi au atoi zaka au aliyejikatia Tamaa
Badilika Usiende Na Mungu Kimazoea Amua Kuacha Vitu vyote kwa ajili ya Bwana Siyo Bwana Aache kwa ajili Yako
WITO
Fika kanisani kwake Pastor Richard mfate WhatsApp akupe maelekezo Uende Ukachukue MAJIBU yako +255759861768
Maoni
Chapisha Maoni