SOMO: NGUDUA KUSUDI LAKO NDANI YAKO

SOMO;NGUDUA KUSUDI LAKO NDANI YAKO.
NAITWA PASTOR RICHARD 
NIPO MOROGORO VETA DAKAWA 
■■■■■■■♤♤♤♤♡♡♡♡♡
Kuna mambo unatakiwa unajua ili kujua Kusudi lako na Kusimamia Kusudi uliloitiwa.
Kila unachokiona Kipo hivyo unavyokiona kimekaa kwa kusudi mwalimu mbele za Mungu mfano Samaki anapozaliwa Hujua kuongelea ndani ya maji kwa kuwa kusudi aliloumbiwa akae ndani ya maji na aongelee.

MAMBO HAYA YATAKUFANYA KUJUA KUSUDI  LAKO.

1:Sababu Ya Mungu Kukuumba ni Nini?
Jiulize Kwanini ulizaliwa na familia hiyo na wazazi hao kwanini hukuzaliwa familia nyigine.

1 Wafalme 5:5
[5]Nami, tazama, nakusudia kujenga nyumba kwa jina la BWANA, Mungu wangu, kama BWANA alivyomwambia Daudi baba yangu, akisema, Mwana wako, nitakayemweka katika kiti chake cha enzi mahali pako, ndiye atakayeijenga nyumba kwa jina langu. 
And, behold, I purpose to build an house unto the name of the LORD my God, as the LORD spake unto David my father, saying, Thy son, whom I will set upon thy throne in thy room, he shall build an house unto my name.

2:Sababu Ya Kuwepo Duniani
Kwanini upo dunia hii mpaka leo jiulize upate jibu.
Ayubu 12:16
[16]Kwake yeye ziko nguvu, na makusudi kufanikiwa; 
Huyo adanganywaye, na mdanganyi pia ni wake. 
With him is strength and wisdom: the deceived and the deceiver are his.

3:Mungu ameweka Uwezo wa Kufanya Jambo ngani ukifanya unafurahia mwenyewe na nini hupendi.
Mhubiri 3:1
[1]Kwa kila jambo kuna majira yake, 
Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu. 
To every thing there is a season, and a time to every purpose under the heaven:

4:Ujue hilo kusudi unatakiwa ukae wapi ufanye hicho unachopenda.

Isaya 14:27
[27]Maana BWANA wa majeshi amekusudia, naye ni nani atakayelibatili? Na mkono wake ulionyoshwa, ni nani atakayeugeuza nyuma? 
For the LORD of hosts hath purposed, and who shall disannul it? and his hand is stretched out, and who shall turn it back?

VITU VITAKAVYOKUJULISHA UPO KATIKA KUSUDI AU HAUPO.

1:Jambo unalotamani ulifanya hapa duniani kabla hujafa.
Hiyo ni kiashiria cha kukujulisha Kusudi lako ni hilo

2:Maumivu ni kitu ngani unaumia ukiona lipo hivyo.
Mfano. Inawezekana Ukiona watoto yatima unaumia au wagonjwa unaumia unatamani uwaponye ujue umeitiwa hilo.

3:Unachofeli Kila Ukifanya huna Amani nacho au Unashindwa Kufanya unatumia nguvu sana ujue hapo hujaitiwa.

SOMO :WATU UNAOWAITAJI UFIKIE KUSUDI LAKO.
Karibu  Naitwa Pastor Richard 
Katika maisha huwa kuna watu tunapaswa tukutane nao ili Tufikie Kusudi letu tukiwakosa hawa lazima Tuumie

1:Watu Watakaokuamini.
Hawa ni watu mhimu Sana ukutane nao mapema ili kufanya Kusudi itimie.
Kutoka 19:9
[9]BWANA akamwambia Musa, Tazama, mimi naja kwako katika wingu zito ili watu hawa wasikie nitakaposema nawe, nao wapate kukuamini wewe nawe hata milele. Musa akamwambia BWANA hayo maneno ya watu. 
And the LORD said unto Moses, Lo, I come unto thee in a thick cloud, that the people may hear when I speak with thee, and believe thee for ever. And Moses told the words of the people unto the LORD.

Yohana 13:19
[19]Tangu sasa nawaambia kabla hayajatukia, ili yatakapotukia mpate kuamini ya kuwa mimi ndiye. 
Now I tell you before it come, that, when it is come to pass, ye may believe that I am he.

2:WATU WATAKAOKUTAMBULISHA ULICHONACHO.
Mathayo 26:73
[73]Punde kidogo, wale waliohudhuria wakamwendea, wakamwambia Petro, Hakika wewe nawe u mmoja wao; kwa sababu hata usemi wako wakutambulisha. 
And after a while came unto him they that stood by, and said to Peter, Surely thou also art one of them; for thy speech bewrayeth thee.

3:GOLIATI WATU WENYE SIFA HII.
Huwa wao wanakusema au kukufunza usimame mwenyewe au kuwa na uchungu nawe.

1 Samweli 17:41-43
[41]Huyo Mfilisti naye akamsogelea Daudi na kumkaribia; na mtu yule aliyemchukulia ngao yake akamtangulia. 
And the Philistine came on and drew near unto David; and the man that bare the shield went before him.
[42]Hata Mfilisti alipotazama huku na huku, akamwona Daudi akamdharau; kwa kuwa ni kijana tu mwekundu, tena ana sura nzuri. 
And when the Philistine looked about, and saw David, he disdained him: for he was but a youth, and ruddy, and of a fair countenance.
[43]Mfilisti akamwambia Daudi, Je! Mimi ni mbwa hata umenijia kwa fimbo? Mfilisti akamlaani Daudi kwa miungu yake. 
And the Philistine said unto David, Am I a dog, that thou comest to me with staves? And the Philistine cursed David by his 

4:WATU WALIOADALIWA WALEE ULICHO NACHO
Tunasoma kwa habari ya Musa. KUTOKA;3
Hawa ni watu mhimu kwetu bila hawa sisi hatuwezi kuvuka.

5:Watu Watakaokuombea na Kukusaidia Pesa
Hawa ni watu mhimu Tunatakiwa Tukutane nao maisha yetu yamebadilika

HITIMISHO 
Tuombe
Baba nafungulia lango la kukutana na watu walioadaliwa kwa ajili ya maisha yangu katika Jina la Yesu.Amen

WITO 
Nifate WhatsApp Pastor Richard +255759861868

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.