SOMO● MISINGI 3 YA MAISHA YAKO KUFAULU.
SOMO● MISINGI 3 YA MAISHA YAKO KUFAULU.
UTANGULIZI;
Kuna misingi mitatu unayopasa uitumie au kuiishi nakuijua Maisha Yanaitaji uyawekee misingi ili ufike mbali.
Maana YA Msingi; Ni kuanzia chakulifanya jambo lisimame
Karibu Naitwa Pastor Richard
Nipo Morogoro Veta Dakawa
°°°•••••°°°°••••••°°°°°••••°°•••••°°°•••••
1:MSINGI WA KWANZA; ●WAZO.
Wazo; Huwa ndio msingi wa kwanza kuvuka katika maisha yako.
a)Yaani Jiulize Wewe Ni nani Unapaswa uwe wapi na ufanye nini.
b)Unapopata majibu ya maswali haya.
Anza kujiuliza nafikaje nifanye nini nifikie wazo langu.
SOMA mithali;16:3 Mithali;21;5
2:Msingi wa Pili: Connections na Watu,Mawasiliano na Watu,
Maisha yanaitaji uwe na mawasiliano na watu wengine kupeana taarifaa ya furusa mbalimbali Na hii itakufanya ufike mbali Kimaisha Kuna watu mmefungwa hamupigi Hatua kwa kuwa hamna Connection.
Soma; Waefeso;3:2-6
3:Msingi wa Tatu; Imani
Kwa imani kila kitu huwa tunafanya na Tumechukua hatua hata tunafikia malengo kwa imani Hebu Thubutu Kuchukua hatua Utaweza kufika. Tumia Imani Kufikia Unayoyaona hayawezekani.
Tunasoma Warumi;10;
HITIMISHO
Tunapaswa Tujenge Msingi wenye nguvu katika Connection ,Wazo na Imani zetu Maisha yanaitaji vitu hivi vitatu ufaulu.
WITO
Share na Fundisha wengine Somo hili
Maoni
Chapisha Maoni