USHUHUDA WA ANJELA

    USHUHUDA WA UNABII KUTIMIA KWA ANJELA BAADA YA PASTOR RICHARD KUMWAMBIA ATAZAA MAPACHA 

Habari Pastor Richard 
Pole na majukumu yakuzidi
Kutufundisha wanye huhitaji Mungu Akupe nguvu mimi Ni mwanao Anjela Ninaumri wa miaka 41 Ninaishi Pwani Nilifika hapo Mwaka Jana Nikiwa na Tatizo sishiki mimba Mme wangu Uchumi Ukiwa Umeshuka Kazini akiwa anavita nilipofika ukaona Nimefungwa Kizazi Nisizae Pia mme wangu nae ukamwambia anatatizo ofsini kwake katika kiti anachokalia Ukatufundisha masomo na ukasema nitazaa mapacha Berith na Beatha Unabii ulioutamka Pastor Umetimia nimezaa mapacha Kweli Tena Wenye Afya Nzuri Na Kwa Upande Wa Mme wangu Jamani mme wangu alikuwa kila anachofanya hakisimami pia Watu atakaofanya nao kazi lazima wasimlipe lakini toka Tumetoka huko kwa huyu mchungaji alikuja kupata kazi ofsi nyigine uchumi umesimama mpaka amenunua na kiwaja  na kunifungulia duka

Sifa na Utukufu kwa Mungu Wetu
      ●JINSI YA KUPATA HUDUMA HII●
UKITAKA UFIKE KWA PASTOR Richard Mfate WhatsApp akupe maelekezo Uende+255759861768 Yeye Haombei Zaidi Anakufundisha Neno la Mungu Kupitia Mafundisho Utapona hana gharama ni bure

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.