SOMO;JINSI YA KUMSAINDIA BINT ANAEKAA NA MWANAUME

SOMO; JINSI YA KUMSAINDIA BINT ALIYEJIOA

MAANA YA BINT KUJIOA; Ni Kukaa na mwanaume ambaye hajatoa mahari.

SABABU ZILIZOMFANYA BINT AKAKAE NA MWANAUME.

1:MAISHA MAGUMU NYUMBANI HATA KWAKE.
Hii siyo sababu ya msingi kwa bint anayejielewa hawezi kuuza uthamani wake kwa ugumu na mapito akaanza kuzini na kujiozesha bure.

Yeremia;9;20 Ulitakiwa uombe na tafuta shughuli ya kufanya.

2;ATAENDA KUTOA MAHALI ACHA NIMZALIE KWANZA.
Jifunze kwa Lea au Rebeka hata Eva Wewe unawezaje kuzaa mtoto kwenye uzinifu au kwenye dhambi ambayo unaijua Sababu mpaka mwanaume unaanza kukaa naye anakuzalisha watoto hata akija kukuacha Sababu Ameshakuharibia ubint wako Maono yako.
Usikubali mwenyewe kukaa na mtu asiyekutolea mahari au kuzini nae.
Mwanzo;29;6

3;UMRI UMEENDA.
Hii siyo sababu ya kukufanya uthamani wako na ubint wako uuze kisa umri umeenda unaamua kukaa na mtu ambaye hajakutolea mahari.
Hutakiwi ujirahisishe wewe ni wa thamani.
Kwa sababu Mungu amekuambia atakupa wa kufanana naye usijisumbue kuhagaika.
Yeremia:9;7 , 8:19

4:RAFIKI WANAOLEWA NA NINASOMA SHUHUDA KILA SIKU.
Wao muda wao umefika wa kuolewa hata wewe muda wako ukifika hautabaki nyumbani lakini endelea Kujitunza na Kumpenda Mungu.
Yohana;12;15

5;TAJA SABABU YAKO INAYOWAFANYA MABINT WASITULIE.

Hatima ya Usahihi wa Maisha Yako IPO kwako Bint unayefatwa na Kijana kukutongoza Endapo hutaweza kujitambua na kuijua thamani yako Ni ngumu Kuleta Ushuhuda Mzuri katika Jamii.
Utamfanya Yesu wako atukanwe na watu wa mataifa na wanaume watakuchezea TU nakukuacha kumbe Ni mwenyewe hujielewi wewe Ni wa thamani umejikatia Tamaa na kuuzira mwili wako.

HITIMISHO
Hebu chukua muda wako ufike Kanisani Morogoro Veta Dakawa Ufundishwe Masomo yakujenge.
Naitwa Pastor Richard

WITO
Nipigie utubu na nikuongoze Maombi uliye kwenye pito hili
+255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.