SOMO; NGUVU YA MAOMBI YA KUFUNGA UKIWA NA SADAKA (Kujitoa)
SOMO; NGUVU YA MAOMBI YA KUFUNGA UKIWA NA SADAKA (Kujitoa)
MAOMBI NI Nini ?
Maombi ni Pumzi ya mtu aliyeokoka Yeyote aliyeokoka pumzi yake ni Maombi Asipoomba lazima Afe Kiroho.
SADAKA YA MAOMBI YA KUFUNGA NI NINI?
Ni kujitoa kwa ulichojaliwa kwa Mungu Nakumpa Mungu Kama Alama ya kiugo cha maombi yako kuyakamilisha yawe kitu kimoja. SADAKA YA MAOMBI ni kiugo kikubwa kama unapouga mboga ili mtu ale chakula chako utaweka chumvi. USIPOWEKA chumvi chakula chako hakiliki.
Ni mhimu kwa anayejua thamani ya kiungo na sio mhimu kwa asiyejua umhimu wa sadaka ya maombi ya kufunga huendana na Sadaka Yake.
Yoeli 2:12
[12]Lakini hata sasa, asema BWANA, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuombolea;
Therefore also now, saith the LORD, turn ye even to me with all your heart, and with fasting, and with weeping, and with mourning:
MAMBO MATATU USIYOYAJUA KUPITIA SADAKA YA KUFUNGA NA KUOMBA
1:UTAIMARISHA MWILI WAKO USITENDE DHAMBI NA UJIEPUSHE NA DHAMBI.
Mwili wako unaweza ukawa unakusumbua na tamaa za mwili kutokana upo mbali na maombi
Zaburi 109:24
[24]Magoti yangu yamedhoofu kwa kufunga,
Na mwili wangu umekonda kwa kukosa mafuta.
My knees are weak through fasting; and my flesh faileth of fatness.
2;UTAFANYA TOBA NA MAPATANO MAKUBWA KATI YAKO NA MUNGU.
Kupatana moyo wako na Mungu utamfanya ajishughulishe na maombi yako ajibu mahitaji yako
Yoeli 2:12
[12]Lakini hata sasa, asema BWANA, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuombolea;
Therefore also now, saith the LORD, turn ye even to me with all your heart, and with fasting, and with weeping, and with mourning:
3;MAGUMU ULIYOSHINDWA UTAYAVUKA NA UTAONA NGUVU YA KUFUNGA
Kuna mambo megine unayaona yamekuwa kwako hayaishi ni kwa Sababu hufungi na ukifunga unafunga kwa mazoea hutaki kujitoa kufunga hata sadaka ya Maombi hutoi
Mathayo 17:21
[21][Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.]
Howbeit this kind goeth not out but by prayer and fasting.
4;UTAONGEZA NGUVU ZA KUVUKA MAPITO NA CHANGAMOTO UNAZOPITIA
Kuna wakati adui anakuonea nakukupiga kwa kuwa na nguvu chache Pia kutokuogeza nguvu kwa kufunga na kuomba
Matendo ya Mitume 13:3
[3]Ndipo wakiisha kufunga na kuomba, wakaweka mikono yao juu yao, wakawaacha waende zao.
And when they had fasted and prayed, and laid their hands on them, they sent them away.
5:UTAFANYA KAZI YA MUNGU UKIWA MTU MWENYE USHINDI MKUBWA
Ni jukumu la kila mmoja aliyekiugo cha Kristo kupitia maombi ya kufunga kujiimarisha.
Tusome mistari hii.
2 Wakorintho 6:1-6
[1]Nasi tukitenda kazi pamoja naye twawasihi msiipokee neema ya Mungu bure.
We then, as workers together with him, beseech you also that ye receive not the grace of God in vain.
[2](Kwa maana asema,
Wakati uliokubalika nalikusikia,
Siku ya wokovu nalikusaidia;
tazama, wakati uliokubalika ndio sasa; tazama, siku ya wokovu ndiyo sasa.)
(For he saith, I have heard thee in a time accepted, and in the day of salvation have I succoured thee: behold, now is the accepted time; behold, now is the day of salvation.)
[3]Tusiwe kwazo la namna yo yote katika jambo lo lote, ili utumishi wetu usilaumiwe;
Giving no offence in any thing, that the ministry be not blamed:
[4]bali katika kila neno tujipatie sifa njema, kama watumishi wa Mungu; katika saburi nyingi, katika dhiki, katika misiba, katika shida;
But in all things approving ourselves as the ministers of God, in much patience, in afflictions, in necessities, in distresses,
[5]katika mapigo, katika vifungo, katika fitina, katika taabu, katika kukesha, katika kufunga;
In stripes, in imprisonments, in tumults, in labours, in watchings, in fastings;
[6]katika kuwa safi, katika elimu, katika uvumilivu, katika utu wema, katika Roho Mtakatifu, katika upendo usio unafiki;
By pureness, by knowledge, by longsuffering, by kindness, by the Holy Ghost, by love unfeigned,
HITIMISHO
JINSI YA KUTUMA SADAKA YAKO YA MAOMBI YA KUFUNGA NA KUOMBA.
Kabla Hujaituma Utaiombea Mahitaji matatu
Omba hivi.
Ee Bwana Yesu Najiugamanisha Katika Maombi ya Kufunga na Kuomba Katika Madhabahu Ya Moto Wa Yesu Na Sadaka hii Naitoa Katika Kiti chako cha enzi ipokee ikanene na kupata kibali machoni pako kwa kujibu mahitaji yangu haya 1;Nataka Niongezwe mshahara ufike m.1
2;Nataka Richard akanipe mtaji wa Biashara kama alivyoahidi. 3 Nataka Mwezi huu iwe mwisho wa blid nikaone ujauzito Katika Jina La Yesu;AMEN
Kisha Unaituma M-Pesa +255759861768
TIGO PESA +255710889892
CRDB BANK: 0152361572400
West Union au Moneygram
RICHARD JULIUS KUSHOKA Nchi TANZANIA.
SADAKA HII ITOLEWE KWA WANAOFUNGA TU
Nakutakia mfungo mwema
Maoni
Chapisha Maoni