SOMO: MILANGO MITANO YAKULIFANYA TATIZO LISIISHE HATA UKIOMBEWA.
SOMO: MILANGO MITANO YAKULIFANYA TATIZO LISIISHE HATA UKIOMBEWA.
Karibu Tuone Malango Ya Adui anayoingilia kukutesa na kukupelekesha katika utumwa
Viondoe hivi ili Upone kabisa
Kuna Watu Matatizo hayaishi au Hawafunguliwi kwa sababu Wamefanyika kuwa lango la kutokufunguliwa kupitia vitu kama hivi nilivyovitaja hapa katika somo tunaloenda kujifunza
Naitwa Pastor Richard 🙌 Morogoro
🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝🏝
1:UCHUNGU NA MAUMIVU NDANI YA MOYO.
Hii huwa hali inamtokea mtu baada ya kutendewa jambo siyo nzuri au kuhisi Ameonewa
Tunamuona Essau anaingiwa na uchungu baada ya Kuona Yakobo Anabarikiwa na Baba Yake Yeye asibarikiwe.
Tusome Maandiko; Mwanzo;26:35, 27:34
Isaya:38:17, Warumi:3:14,Waefeso,4:31
2:KUKATA TAMAA NA MANUG,UNIKO.
Hii hali huwa ni mtu anakuwa amepoteza Tumaini Na Mungu wake hali inayomfanya mtu aanze manug,uniko. NI LANGO kubwa lakukufanya uteseke kupitia lango.
Tusome: Muhubiri; 2;20 Isaya;15:5
3:KUZINI AU KUISHI MAZINGIRA YA UZINIFU.
Kuzini huwa ni lango linalozuia baraka zako au Majibu yako unayomuomba Mungu.
Tusome : Mathayo;5;27 Kumb.Torati;5;18 Kutoka;20;14
4;WIZI WA ZAKA AU KURUKARUKA UTOAJI.
Unapokuwa mwizi wa zaka au unarukaruka UTOAJI wako mwezi huu utoe mwezi mwingine Unalifanya Tatizo lako Liwe Sungu lisiishe.
Tusome Amosi;4;4 Luka;18;12 Torati;14;22 Mwanzo;14:20
5;MADHABAHU KUTOKUIJUA MADHABAHU YAKO
Watu wengi wanahagaika kwa kutokujua madhabahu zao wanazopaswa watoe zaka zao wasione matokeo kwa kutokuwa na msimamo wa kujenga madhabahu zao.
Usiwe na madhabahu nyigi nyigi Tafuta madhabahu moja tulia na uiamini uitolee zaks.
Tusome; 1wafalme;18:30 Mwanzo,22;5-10,13;4-18,33:20
TUFANYE NINI SASA KAMA UNAHIZI DALILI.
Nisisi kupenda kujifunza Neno na Kujizoesha Kuziepuka Tabia hizi au hali hizi ukizirusu zitaendelea kumfanya adui yako apate lango la kukushikia na kukutesa.
HITIMISHO
Tufanye mazoezi yakuepuka Tabia hizi ili kufunga milango ya mateso.Tufungulie Shuhuda
WITO
Mfate WhatsApp Pastor Richard akutumie maelekezo Uende Kanisani +255759861768
Yupo Morogoro Veta Dakawa
@2022 shirikisha wengine magroup yako uwaponye wezako
Maoni
Chapisha Maoni