SOMO: MAMBO YANAYOKUFANYA UWE Masikini
SOMO;MAMBO MANNE YANAYOKUFANYA UWE MASKINI.
Mwal. PASTOR RICHARD
MOROGORO VETA DAKAWA
WHATSAPP +255759861768
1:WAZO LA KUJIONA UMESHINDWA.
Matokeo ya ulivyo nikutokana na Wazo ulilokuwa Unawaza huko nyuma.
Huwezi kuwa Tajiri wakati Unawaza Umasikini Huwezi kuolewa wakati unawaza Kuwa Singo.
Zaburi 94:11
[11]BWANA anajua mawazo ya mwanadamu,
Ya kuwa ni ubatili.
The LORD knoweth the thoughts of man, that they are vanity.
2:KUCHUKIA MAFANIKIO YA WENGINE.
Hapa Tusome; Mwanzo:4:1-10
Huwezi Ukawa mtu unayechukia maendeleo Ya wegine ukifanikiwa.
3:MATUMIZI MABAYA YA KINDOGO UNACHOPATA.
Huwezi Kumiliki Ukathamini Kitu Kikubwa wakati kidogo unadharau
Mfano umepata 10000
Yote inaisha usiweke skiba lazima uwe maskini.
4;JIFUNZE MAKOSA YAKO KWANINI NI WEWE UPO HIVYO.
Mtu anayetaka Kufanikiwa Lazima Ujifunze upate ujuzi juu ya unachoenda kukifanya.
HITIMISHO
Epuka umasikini Ambao Unaweza ukaepuka kupitia haya tuliojifunza
WhatsApp Pastor Richard mtumie ujumbe
Ukiitaji Kufika madhabahu ya moto wa Yesu
+255759861768
Maoni
Chapisha Maoni