MAMBO 6 YANAYOFANYA MWANAMKE AKUKIMBIE
SOMO;MAMBO 6 YATAKAYOKUFANYA MKE AKUKIMBIE AU MCHUMBA AKUACHE
WANAUME Wengi huachwa na kukimbiwa na wanaume zao kwa sababu hizi karibu
Naitwa Pastor Richard
1;KUKOSA UMAKINI NAE.
Msichana huhitaji Umjali na umsikilize mini anaongea anataji nini uwasiliane nae asiposikilizwa mwanamke atakuacha au usipowasiliana nae simu unazima
2;USALITI.
Msichana anapoanzisha mahusiano na wewe huhitaji awe peke yake kuaza mundo wa kuogea mara unachati na mwanamke uliyezaa nae akikuuliza unasema ananipa habari za mtoto wangu ni bora ukamchukue mtoto ukae nae au unaongea na mchumba wa zamani mwanamke atakuacha na hutampata kama huyo tena.
3:MUHESHIMU.
Mwanamke afokewi au Kupingwa mwanamke Usimfokee au usimfanyie Visa vya ajabu au Usitoe Siri Zake nje au kuwaeleza rafiki zako Ukifanya hivyo mwanamke atakuacha Na atakukimbia au utapata watakaokusaidia kuishi na mkeo.
4;HISIA NAO ZA KIMAPENZI.
Mwanamke hupenda uwe na hisia Naye za mapenzi anapokuitaji Tendo la ndoa Aweze kufurahia Tendo la ndoa sio akuitaji umwambie nimechoka au sina hisia nawewe au sitaki mwanamke akisikia maneno hayo atakuchoka na atakuvumilia mwishowe atakuchoka.
5,KUTOKUMFUNDISHA NJIA YA MUNGU.
Ukiwa unakaa na mwanamke huwa hawezi hata kumfundisha Neno la Mungu hata kuomba hata kumuongoza atembee na Mungu kila siku anamwambia twende kwa Babu Nugu au Mwezi huu tukatembelee makaburi lazima mwanamke atakukimbia AKUACHE Sababu humuongozi katika njia sahihi.
6;UNAPOMKOTRO SANA.
Mwanamke hapendi umkotro kila kitu mpe uhuru afanye kazi zake mambo yake ukifanya hivyo atakukimbia
FACEBOOK GROUP PASTOR RICHARD
ππΌππΌππΌππΌππΌππΌ
BONYEZA Link chini Ujiuge
https://facebook.com/groups/387038394754746
Maoni
Chapisha Maoni