USHUHUDA
USHUHUDA HUU UTAKUVUSHA MAHALI SOMA WOTE
Habari Pastor Richard
Mimi Ni Kijana Niliyeokoka Nampenda Yesu Sana
Japo miaka 4 Nyuma Nimepita katika Jaribu la Kupenda na Kuumizwa na Wanawake Nilikuwa ninaanzisha mahusiano mwanamke anakuaminisha Anakupenda Lakini Jinsi muda unavyoenda gafla anaanza kutokujibu sms Mara akuambie Mimi nimechoka Mara nipo kwa dada nawewe huku unazidi kujipanga ukatoe mahari ukija Kumwambia Utasikia Anakuambia Subiri usije Mara utasikia Kuazia Leo sitaki kuendelea kuwasiliana na wewe hii Hali ilijitokeza kwa mabint watatu mmoja Wapo nilitoa mpaka mahari nusu akaja akaniacha kingezo alichoniacha eti kwa kuwa Mimi Nimeokoka Yeye hajaokoka licha ya Kwamba Mimi nilimpenda akaniambia labda nimfate Yeye nikasema haiwezekani ikabidi aniache👉🏿 Nashukuru Baada ya Kufika Madhabahu hii ya Moto wa Yesu Nikafundishwa Masomo Yaliyonifungua Mpaka nikajua mwanamke niliyeandaliwa Kuoa yukoje ndiye Huyu nimekuja kumpa verosa Mwanamke mcha Mungu Aliyenipenda Nazidi Kumuomba Mungu aendelee kututunza.
Mimi Naitwa Nick Ninaishi Arusha Ninachotaka Kukuambia Penda Kufundishwa Masomo yakufungue Huyu Pastor Richard Yupo Morogoro veta Dakawa Haombei Anafundisha Neno la Mungu Utakaa Siku Tatu wewe mfate WhatsApp Akupe maelekezo ya Kufika Kwenye Huduma+255759861768
Shirikisha na Wezako huu Ushuhuda
Isaya:43:7
Maoni
Chapisha Maoni