SOMO; UKOMBOZI WA WAWAKATI

SOMO; UKOMBOZI WA MAJIRA NA WAKATI

KUTOKA;16;8-13,40;37-38 Yoshua;14;10-11 Waefeso;5;15-16
Muhubiri;12;1-5

MAJIRA NI Kipindi unachokipitia Unapaswa ukomboe Kipindi hicho ukivuke Salama.

KATIKA MAISHA HUWA TUNAKOMBOA VIPINDI 4
Karibu unifatilie kwa umakini Ukombozi wa Wakati.

1: UKOMBOZI WA ELIMU.
Huu Ni Ukombozi unaolenga Elimu Dunia na Elimu darasani
Maisha Yanaitaji Elimu kila paitwapo Leo.

MATOKEO YA KUKOMBOA ELIMU

1:Utakuwa na Elimu juu kile ulichojifunza
2;Utaongeza maarifa na Ufahamu
3;Utakabiliana na Changamoto Mbalimbali.

2; UKOMBOZI WA UCHUMI.
Hii huhitaji Ukombozi wa Uchumi na vyazo vyake.
Kuhakikisha kiuchumi unasimama vizuri.

MATOKEO YA UKOMBOZI WA UCHUMI
1;Utamiliki Uchumi na kuutawala
2;Utatumia muda wako vizuri kutafuta Uchumi
3:Utasimama imara kiuchumi

3: UKOMBOZI WA KIROHO
Huu Ni Ukombozi wa Kiroho na mwili Kutembea Katika misingi mizuri ya Mungu

MATOKEO YA UKOMBOZI WA KIROHO
1;Utamjua Zaidi Mungu
2:Utakaa katika Mapenzi ya Mungu
3;Imani itakuwa na kuogezeka
4:Utapenda NENO LA MUNGU utampenda Mungu.

4; UKOMBOZI WA FURSA
Huu Ni Ukombozi unaolenga kuchangamkia fursa Mbalimbali zinazotokea.

MATOKEO YA UKOMBOZI WA FURSA
1:Utakimbilia Kufanya kazi
2:Hutaziacha fursa zikupite

HITIMISHO
Umeukomboa wakati wako au bado

Wito
Umejifunza Nini na unaongezea nini

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.