MAOMBI YA KUJIKOMBOA NAFSI

SOMO.MAOMBI YA KUIKOMBOA NAFSI.

1;Anza na Kuabudu au Sifu

 
2;Kaa katika Uwepo


3;Anza kuliita jina lako Mfano RICHARD RICHARD RICHARD Mara Tatu.
Unasema njoo njoo njoo Duniani toka kwenye magonjwa Toka Kwenye mikosi Ya magonjwa.......

4;Endeleaa kuitaa Jina hata ukidondoka Tamka Kuliita Jina Lako


5;Angizia Malaika wa Moto Malaika Wapelelezi


6;SEMA Naangizia malaka wa Moto Wapelelezi waende kila kambi za Kichawi walipochukua jina langu waliachie Nasema.


7:Kaza Sauti Kama Mwanajeshi Palendi Omba Omba Tumia Malaika wakufate walipokuweka


AGALIZO
Kama wewe Ni mtu mwenye wasiwasi na Nguvu za Mungu wako au Umejikatia Tamaa au Umejawa manug,uniko usiingie kuomba

RUHUSU Nguvu za ROHO MTAKATIFU ziongoze Maombi
Muda wowote jikomboe nafsi Yako

MSTARI wa KUSIMAMIA

Mwanzo 2:7
[7]BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.


MAOMBI YA KUVUKA VIZUIZI

Mithali;3;25 Mstari wa KUSIMAMIA

1;Anza Kwa Kuomba Toba


2;Anza kutamka Navuka nafuta kizuizi Cha ....(unaweka kizuizi unachokutana nacho)Mfano; Magonjwa ,Kutokuzaa ,Kazi nk

3:Ita Moto wa Yesu Moto wa Yesu Uteketeze kila vichaka Kila Maboma waliokujengea Endelea Kuita Malaika Wa Moto Malaika wapelelezi Malaika Wa Vita huku ukifanya kitendo Cha kutembeatembea Anza Kutamka VIZUIZI nimevuka Taja. Huku unapiga hatua Kutembea.

4;Ukimaliza Nyosha mikono juu Piga makofi Piga makofi huku ukisema ANSATE Yesu.

5:Malizia kwa Kufunika Maombi Yako kwa Damu Ya Yesu


MAOMBI YA KUOMBEA FUNGU LA KUMI KABLA HUJALITOA
KATIKA MADHABAHU YA MOTO WA YESU

1:Anza Kwa Kupiga magoti ishike Sadaka Yako katika Mkono wa Kulia inyanyue Juu.

2:Unaomba Maitaji matatu Yaliyokusumbua Kichwa Huku umeishika Sadaka Yako Kama IPO kwenye Simu shika Simu.

3;Unaomba hivi
_____Kupitia Fungu hili la Kumi la mwezi wa 2 Nalitoa Katika Madhabahu ya Moto wa Yesu likaongee kwa Habari ya


1:Kupata mtoto mwezi huu nakunyonyesha


2;Kuolewa nakutoka kwenye maisha ya Usingo


3:Kujenga Nyumba Yangu nakutoka kwenye Maisha ya kupanga


Katika Jina la Yesu Naomba uipokee Eeh Bwana Katika Kiti chako Cha  Enzi Ninaomba nikiamini katika jina la Yesu; AMEN.

4;Kila Mungu Akijibu ombi lako weka hitaji lako jipya.

5;Kuwa Mwaminifu kila mwezi ikitokea umevuka mwezi bila Kutoa lipa ndeni Kwanza ndio uendelee Ukifanya hivyo Utaifanya Madhabahu Yako itende na kuendelea kukubariki.

6;Kisha Tuma Kupitia M-PESA +255759861768 Au
CRDB BANK 0152361572400 JINA πŸ‘‰πŸΏRICHARD JULIUS KUSHOKA


MAOMBI YA KUTAKASA DAMU YENYE MAGONJWA


1;Anza kuomba Kusafisha damu Yako na mifupa KWA Damu Ya Yesu

2;Pitisha Damu Ya Yesu Ndani Ya Mwili wako SEMA Naachilia Damu Ya Yesu ikasafishe ikafute kila mazindiko yaliyouganishwa Kupitia chale.
Endelea kuomba Kadri Roho Mtakatifu anavyokuongoza.

3:Hakikisha Unaushika mwili wako huku ukisema Mwili wangu utakasike Kwa Damu Ya Yesu Nauosha Mwili Wangu Kwa Damu Ya Yesu.


HATUA YA PILI JITENGE NA ANGANO LA DAMU


πŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸπŸπŸπŸπŸπŸ
ANGANO la DAMU hufanywa na Watu Kupitia kuchanjwa chale au Kutoa mimba au kuua au kushiriki kunywa Damu

UNAPOFANYA haya niliyoorodhesha Unafungulia Mwili wako uwe wa magonjwa matatizo yasiyoisha na Lango la Shetani.

1;Anza Kusema Najitenga Mbali na maangano ya Damu niliyoyafanya au kufanyiwa

2;Ninafuta Kila maandishi na Mazindiko walionifanyia Kupitia Damu yangu

3;Endelea kuitenga Damu Yako na Kuzimu

4;Endelea Kuitenga Damu yako na magonjwa na Laana.

Endelea kuomba Ni Maombi Ya Vita.

MAOMBI YA ANGANO LA DAMU Huendana Na Sadaka
UNAYOPASWA uiombee Sadaka Yako kwa Habari yakujitenga na maangano Kisha Sadaka Yako Utaituma+255759861768 M-PESA

Mwanzo 9:6
[6]Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu.

Waefeso 1:7
[7]Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.