SOMO: NGUVU YA KUMLEA MTOTO KATIKA NJIA YENYE FAIDA
SOMO; NGUVU YA KUMLEA MTOTO KATIKA NJIA YENYE FAIDA.
UTANGULIZI
Habari Mpendwa Na mfatiliaji wa Website hii ya Moto wa Yesu Kwa Majina Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro veta Dakawa Leo Nataka Tuponyane Kwenye Malezi ya Watoto Wetu Karibu Unifatilie Kwa Utulivu
Mwaadaaji wa Somo; Roho Mtakatifu
Muwasilishaji Pastor Richard
Njia ya Kukufikia www.mchungajirichardi.blogspot.com
FB; Kanisa la Moto wa Yesu
MAANA YA MALEZI NI NINI?
Maana Yake Ni Mchakato na maadalizi ya kumwadalia Mwanao Mazingira mazuri yatakayomfaa kiafya kiakili na makuzi Yake Baada ya kumzaa.
UTOFAUTI KATI YA MZAZI NA MLEZI.
MZAZI Ni mwenye mtoto aliyemleta duniani lakini Unaweza Ukawa na Nguvu ya Kuzaa ukashindwa Kulea Watoto lakini wapo
Maoni
Chapisha Maoni