SOMO: MAMBO MATANO KATIKA UTOAJI
SOMO: MAMBO MATATU YAKUZIGATIA KATIKA UTOAJI WA SADAKA
MATENDO:10. Warumi;12;1
Mwal.Pastor Richard Yupo Morogoro veta Dakawa
1;HATUA YA KWAZA Kuelewa Neno utoaji nakutofautisha Neno utoaji na Sadaka.
1;UTOAJI:👉🏿Ni kuacha Pengo kwenye Mali zako au Pesa halafu lile pengo usitengemee alizimbe Yule uliye mpa au akurudishie kitu.
Mfano unaelfu 10000 Faustini Ukampa 1000 Utabaki na elifu 9000 Sasa usitake Faustini akurudishie au uaze kumsema ulimsaidia.
Mfano umetoa gari kwa ajili ya Pastor Richard Ukawa unamuona anaendesha hupaswi useme lile gari SI nilimpa Mimi.
UTOAJI nikitendo Kikubwa Kuliko Sadaka Maana Huwa Levo Kubwa Ya Kiroho.
SADAKA 👆👉🏿Ni Kutoa Pesa Kanisani au Kwa Wasiojiweza au Kujitoa mwili wako kumtumikia Mungu.
Mfano: UMEENDA Kanisani Unapaswa uende na Sadaka Yaani Pesa uliojaliwa umtolee Mungu Ili kuchochea maendeleo ya Kanisa lako Unaposema hutoi Sadaka Kanisani Unaua Kazi Ya Mungu nakuididimiza.
Mfano kuituza Familia ya mchungaji nakuilisha hiyo Ni Sadaka unavyojitoa.
KWA HIYO SADAKA IPO NDANI YA UTOAJI.
UTOAJI hulenga Umpe Mali zako Mungu 3% Pesa 10 % MPE Mungu
UTAKUWA UMEPANDA DARAJA KIIMANI NA KIROHO Ukifikia staji ya Kuitwa mtoaji.
2;HATUA YA PILI LAZIMA UJUE KUTOFAUTISHA KUNAKUMPA MCHUNGAJI NA KUNAMTOLEA MUNGU.
KUMPA MTU:- Ni niaba ya Mtu akifikishe au kimfikie mlengwa.
Kuna mawili endapo utampa na usimtolee
Eidha Yule uliyempa asiwe na Elimu juu ya hiyo Sadaka uliyoitoa akakuombea kimakosa Kutokana kutokujua.
Eidha Siyo Asifikishe kwa mlengwa halafu akaila Yeye kwa hiyo haitafanya kazi au Sehemu ilipopaswa ifanye kazi.
KWA HIYO USIMPE MTU MTOLEE MUNGU NA Omba upewe maelekezo kila Sadaka unayoitoa Pastor akuelekeze
KUMTOLEA;_Kufanya Jambo kwa Sababu ya Mungu na Siyo mtu Unapotoa unachora picha ninamtolea Mungu au Nafanya Hili kwa Sababu ya Mungu Usitoe Pesa au mali umuone mtu.
3:HATUA YA TATU TOA KWA IMANI NA UTOAJI NIKIPIMO CHAKO CHA UKUAJI WA KIIMANI.
Kwa Mtu aliyemchanga Kiroho au Imani Yake haijakomaa huishia levo ya Sadaka TU miaka Yote maana bado imani haijakuwa Kutoa Mali Yake au Chochote Anaona Anamfanyia mtu kwa hiyo Imani yako huogezeka unapoitwa mtoaji.
4;HATUA YA NNE TOA KATIKA MADHABAHU YAKO USIZITOLEE MADHABAHU AMBAZO SIYO ZAKO USITOE KWENYE DHEHEBU AU DINI IPE MADHABAHU.
Madhabahu Ni baba yako wa Kiroho Usitoe Kwa mtu asiyekuwa baba yako wa Kiroho na uwe na Baba mmoja wa Kiroho
Hupaswi uchanganye changanye au Uwe na Madhabahu Nyigi.
KAMÀ Madhabahu ya Moto wa Yesu itolee Zaka na unapoiomba ikumbushe Kupitia Madhabahu ya Moto wa Yesu itende Hili Kupitia Sadaka Yangu hii.
5;HATUA YA TANO IOMBEE SADAKA KABLA HUJAITOA.
Kwanza Uelewe Kila Sadaka inathamani zake na Baraka zake
Pia Zipo Sadaka Hupaswi Uzitoe Bila Maelekezo Mfano
Sadaka ya Kutekezwa, Sadaka Kujenga Madhabahu, Sadaka ya Ukombozi,
Hizi Ni Sadaka Kubwa zinazoitaji maelekezo Kwaza upewe ili utoe kwa Usahihi.
ITOE SADAKA YAKO UKIWA.
Huna manug,uniko
Bila kulazimishwa
Ukiwa Umesameheana na mwezako
Katika Madhabahu Yako
HITIMISHO
Mungu Sifa Yake Ni utoaji na walio wake Mungu humrithi kwa Kujitoa kuacha Alama kwa Bwana
WITO
Unapotuma Sadaka Yako Iombee Kupitia Sadaka hii ikaongee kwa Habari ya_____Katika Madhabahu hii ya Moto wa Yesu Kisha itume+255759861768 Jina RICHARD JULIUS KUSHOKA
Ubarikiwe kwa Kunielewa Somo Nzuri Hili.
KUMTOLEA MUNGU
Maoni
Chapisha Maoni