SOMO: DALILI ZA WIZI WA FUNGU LA KUMI

HIZI NDIZO DALILI KUU ZA MTU ANAETESWA NA DHAMBI YA WIZI WA FUNGU LA KUMI.
MALAKI:3:10

1:Huingia roho ya kudhulumiwa au Kutapeliwa utakumbwa na matukio ya hivi.

2:Biashara mtaji wako utakufa au utaona Biashara  huuzi Hata Mia ujue Fungu la kumi

3:Utakopa madeni utashindwa kuyalipa na madeni yatakuzidi Kwa Kuwa hujui unatakiwa uaze kutoa Fungu la kumi utaombewa madeni hayataisha Hata nafuu hutaona.

4:Utakumbwa na kuuguza watoto wazazi pesa zako zote zitaishia kuuguza.

5;Kila utakalo Sema ulifanye utalifanya katika Makosa yaani utapatwa na HASARA..

6;Utafukuzwa Kazi Utashushwa cheo chako

7;Utakosa Kibali mbele za Mungu na Kwa Wanadamu.

8:Hautapata ulizi wa kazi yako utaona Mambo kwenye kazi Yako yanaharibika

9:Utachangia kuua kanisa au Huduma kwa sababu KUPITIA Fungu Lako huifanya kanisa lijijjenge KUPITIA kikumi

10;Uaminifu kwenye pesa na Mali zako utashindwa kumfanya Mungu Asimamie Mali zako .

Haya ndio Mambo mhimu Yatakayojitokeza Kwako usiposimama Katika Uaminifu wa Fungu la kumi Kila Mwezi

👉🏿👉HIZI NDIYO DALILI KUU ZA MTU MWAMINIFU WA FUNGU LA KUMI

1:Atakuwa na Uchumi Afya na Familia Bora
2:Hatashindwa Kulipa madeni na Hatakopa
3:Biashara na Kazi zake zitasitawi
4;Hataishia NJIANI mipango Yake
5;Atakuwa mtu wa kibali Popote aendapo
6;Atapandishwa madaraja mshahara
7;Hataumwaumwa Wala Kuomba Omba vitu
8:Milango ya Mambo Yake itafunguka
9: Ushuhuda wake atapokea haraka na utadumu
10;Nyota Yake itag,as

UFANYE NINI SASA ILI USIJICHANGANYE

Fungu la Kumi Unapaswa utoe Kila mwezi hata Kama unapita magumu toa Fungu la Kumi KWANZA Unapotakiwa ulitoe kwenye Madhabahu Yako unayoiona imebeba majibu yako MPE Baba Yako wa Kiroho Kisha AKUOMBEE Usitoe Fungu la Kumi Madhabahu nyigine halafu Ukawa Unataka Madhabahu Ambayo huwa huhitolei Zaka ijibu au ikuletee majibu haiwezi kukuletea kwa hiyo kuwa makini katika Madhabahu Tu.

KATIKA MADHABAHU YA MOTO WA YESU
Watoto wote huwa tunaiombea Fungu la Kumi Juu Ya MAHITAJI tunayotaka Mungu ayatende akishayatenda Tunaweka mengine

Unaombea hivi Kupitia Fungu la Kumi la mwezi huu wa 11 Ninaomba likafungue mlango wa nje Kusoma 2;Likafungue mlango wa uhamisho Kutoka tunduru kwenda Morogoro veta Dakawa 3;Nikafunge ndoa katika jina la Yesu👉🏿AMEN

KISHA TUMA KWA M-PESA+255759861768 au CRDB ACCOUNT 0152361572400 Jina RICHARD JULIUS KUSHOKA

SIMAMA NA MADHABAHU YA MOTO WA YESU KWA UAMINIFU NAYO ITAJIBU Lakini Kama hi sio Madhabahu Yako Simama kwa uaminifu katika Madhabahu uliyoamini imebemba majibu yako itatenda Usijichanye wewe Zaka Unatoa Madhabahu Fulani majibu yako unaenda kuyasubiri Madhabahu Fulani hutayapokea

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.