SOMO:SIRI TATU ZA BARAKA ZA MUNGU
SOMO: SIRI TATU AMBAZO MUNGU ANAZITUMIA KUKUPA USHUHUDA
USIZOZIJUA.
Tunaweza Kusema Baraka Za Bwana au Shuhuda Hufananishwa na watu Walioitwa Kufanya intaview ili wapate Kibarua Kila mmoja hutengemea Apate Kazi Lakini Anayekuja Kupata Kazi Ni mtu mmoja au wachache Sana Kwa Kukosa Kukizi Vigezo Ndivyo ilivyo ili uwe Na Ushuhuda au UBARIKIWE KIAFYA ,ELIMU, UCHUMI Unapaswa haya ninayoenda Kukufundisha Uyaelewe nakuyaishi.
1👉🏿JENGA MADHABAHU YA BWANA.
1 Wafalme 18:32
[32]Naye akaijenga madhabahu kwa mawe hayo katika jina la BWANA; akafanya mfereji, kama wa vipimo viwili vya mbegu, ukiizunguka madhabahu.
Hapa ninaongelea Madhabahu Nikimanisha mahusiano MAKUBWA na Mungu utakayoyajenga Kwa Kuwa mwaminifu Katika Madhabahu Ya Baba yako wa Kiroho Kutoa Fungu la Kumi kila mwezi Bila kuruka ruka hata Kama unapita kwenye pito toa Fungu la Kumi KWANZA
Hata Kama huna Kazi Nenda kafanye usafi nakufua nguo za Mlezi wako wa Kiroho
WEKA USIARIZI WA KUTEMBEA KATIKA MADHABAHU YAKO ILIYOBEBA MAJIBU YAKO IPO KWAMBA MADHABAHU UNAYOITOLEA FUNGU LA KUMI NDIO INAYOLETA MAJIBU AU ISILETE.
USIJE UKAAZA KUTAKA BARAKA ZA MUNGU KWENYE MADHABAHU AMBAYO HUITOLEI FUNGU LA KUMI JITAIDI UELEWE UKIKOSEA MADHABAHU UMEKOSEA MAJIBU YAKO
MAMBO HAYA YATAKUJULISHA UPO SEHEMU SAHIHI
1:Utafundishwa Neno la Mungu Na Utaona Unaelewa nakubadilika
Kiroho
2:Utaombewa Utaona Mabadiliko Kimwili na Kiroho
3:Utaomba Mwenyewe Utaona Mabadiliko
4:Utakuwa Kiroho nakuogezeka KIIMANi
5;Utatoa Fungu la Kumi Mambo haya utayaona
a)Kiuchumi Kupanda
b)Kuoa/Kuolewa/Kupata watoto( Familia)
c)Kibali na Afya kulindwa.
UTOAJI WA FUNGU LA KUMI MADHABAHU YA MOTO WA YESU
Luka 18:12
[12]Mimi nafunga mara mbili kwa juma; hutoa zaka katika mapato yangu yote.
Tolea Zaka Kila Kazi unayoifanya Inayokuigizia Kipato
UNAPOTOA IOMBEE MAOMBI 3
Kupitia Fungu la Kumi la mwezi huu likaongee katika Madhabahu Hii Ya Moto wa Yesu kwa habari ya
1:Kujenga nyumba yangu
2;Kupata milioni mbili ya ada/Mahari
3:Kuhamishwa kituo Cha Bunda kwenda ilemela Mwanza
Kisha Unatuma kwa Namba M-PESA+255759861768 Au CRDB 👉🏿0152361572400 Kama Upo nje Tuma West Union au Mone Grammer RICHARD JULIUS KUSHOKA Nchi Tanzania
UNAPOITOLEA KWA UAMINIFU KILA MWEZI NDIO MADHABAHU HII INAKUJUA NAKUKUFUNGUA SABABU UMEITOLEA SADAKA USIPOITOLEA HII MADHABAHU HAITATENDA mpaka ile UNAYOITOLEA FUNGU LA KUMI
Maana Zaka hutolewa kwa Baba yako wa Kiroho Alibeba Madhabahu Yako hupaswi uotoe nje na Kanisani.
HASARA ZA WIZI WA FUNGU LA KUMI
1;Utakuwa mtu wa magonjwa nakuuguza
2:Familia hutapata iliyobora utateseka kutafuta familia
3;Utatapeliwa Utafiriska vitu vitaharibika tu
2👉🏿JAMBO LA PILI ; BABA WA KIROHO MMOJA.
Hata ukiwa na Baba wa Kiroho 10 changua mmoja Iwe Madhabahu Yako wewe akulee Kiroho nakukuogoza Kiroho Kwigine nenda kasari shiriki Sadaka zako za Kawaida lakini Fungu lako La Kumi litoe Kwa Baba Yako Wa Kiroho Usitoe Fungu la Kumi kwa Kuambiwa jielewe na ujue Madhabahu Yako utoe
Baba wakiroho Unatakiwa umfanye Kama Rafiki yako uwe na nguvu ya kumfikia nakumweleza Changamoto zako Kila kitu kitafunguka
👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼
Malaki 3:1
[1]Angalieni, namtuma mjumbe wangu, naye ataitengeneza njia mbele yangu; naye Bwana mnayemtafuta atalijilia hekalu lake ghafula; naam, yule mjumbe wa agano mnayemfurahia, angalieni, anakuja, asema BWANA wa majeshi.
Mchungaji huwa Ni mjumbe wa Bwana anayekuelekeza kwa Usahihi njia ya Kwenda kukuvusha nyakati Mbalimbali Lakini endapo utamsikiliza.
Sasa wewe unataka Mungu Akujibu Baba wa Kiroho huna Na Fungu la Kumi Ni mwizi hutoi Unataka ushuhudie unashuhudia Nini Mungu huonekana Palipo na Madhabahu Unapoitolea FUNGU LA KUMI MADHABAHU YA MOTO WA YESU Lazima itende hata itakawia
Shuhuda Nyigi unazoziona Ni uaminifu wa Fungu la Kumi ndio maana wapo Wegine mpaka Kesho hawajawahi Kumuona Mungu na Akitenda.
3:SIRI YA MWISHO: UTOAJI WA SADAKA
Zaburi 50:14
[14]Mtolee Mungu dhabihu za kushukuru;
Mtimizie Aliye juu nadhiri zako.
👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼
Mungu huwa Anatenda umtolee Kuliko Kupokea Sasa ukiwa mlemavu wa Kipengele Cha Utoaji Bando Utakuwa na Matatizo maana Usipotoa Kwa Mungu Utatoa kwa Shetani
UTOAJI UPO AINA TATU
1:UTOAJI WA MALI ZAKO;
Hapa tunangusa Pesa zako mashamba yakp magari yako nguo zako mtolee Bwana Kwa Kupeleka kwa wasiojiweza au Kanisani
Agalia Changamoto ya kanisa Hilo halafu fanya peke yako usiwe unachangia Baraka na Wegine maana Hakuna mtu asiyejua chazo Cha Baraka nikutoa sio kusubiri Upokee au ushuhudie ndio uaze kuipenda nyumba ya Mungu.
Mithali 8:21
[21]Niwarithishe mali wale wanipendao,
Tena nipate kuzijaza hazina zao.
2;UTOAJI WA ELIMU NA KARAMA ULIYOPEWA.
Mithali 16:22-23
[22]Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwake aliye nao;
Bali kufundishwa kwa wapumbavu ni upuzi wao.
[23]Moyo wake mwenye hekima hufundisha kinywa chake;
Huzidisha elimu ya midomo yake.
Toa Elimu yako au ulichosomea kifanye kazi ya Mungu
Mfano; Mwanashaeria
Anzisha Darasa ndogo kwa Waumini wafundishe sheria wajue
DAKTARI
Anzisha Darasa lakuelimisha Afya Waumini
Tumia Elimu yako na ulichopewa kiwavushe Wegine
Mfano Mimi Pastor Richard
Kila Saa nawafungua watu Kupitia Mafundisho ya Neno la Mungu nawaelimisha Watu Jinsi wanavyopasa waenende wanamuona Mungu Nashuhuda huleta.
3:UTOAJI WA SADAKA
Jitolee mwili wako uwe Tayari kuutaabisha kwa ajili ya Bwana
Mfano.
Nenda Kanisani Funga siku nzima fanya usafi na lipambe kanisa
Mwili wako na viugo vyako vimsifu Bwana Imba Sifa na ucheze kwa Bwana.
Hudumia watu bila kuagalia Hali Zao.
JITOE KUJENGA NYUMBA YA BWANA
PA PENDE NYUMBANI KWA MUNGU
Soma hii
Hagai 1:9
[9]Mlitazamia vingi, kumbe vikatokea vichache; tena mlipovileta nyumbani nikavipeperusha. Ni kwa sababu gani? Asema BWANA wa majeshi. Ni kwa sababu ya nyumba yangu inayokaa hali ya kuharibika, wakati ambapo ninyi mnakimbilia kila mtu nyumbani kwake.
HITIMISHO
Tunapaswa Tutembee na Kujenga Madhabahu Ndani Yetu ili Mungu Ashughulike nasi bila Madhabahu Hakuna kitu.
WITO
Nawakaribisha mfike Kanisani Uweze kujifunza Zaidi
WhatsApp Number+255759861768
Hizi Ni Ambazo Wegi huwa wanajiuliza mbona Mimi simuoni Mungu kumbe mgumu kumtolea Aliyekupa kitu
Maoni
Chapisha Maoni