SOMO: MAMBO MATATU YA KUFANYA KWA MCHUMBA WAKO

SOMO: MAMBO MATATU MHIMU UNAYOPASWA UYAFANYE KWA MCHUMBA WAKO WEWE KAMA MWANAMKE.
Mithali 12:1-5
[1]Kila apendaye mafundisho hupenda maarifa;
Bali yeye achukiaye kulaumiwa ni kama mnyama.
[2]Mtu mwema atapata upendeleo kwa BWANA;
Bali mtu wa hila atahukumiwa naye.
[3]Mtu hatathibitika kwa njia ya uovu;
Shina la mwenye haki halitaondolewa kamwe.
[4]Mwanamke mwema ni taji ya mumewe;
Bali aaibishaye ni kama kuoza mifupani mwake.
[5]Mawazo ya mwenye haki ni adili;
Bali mashauri ya mtu mwovu ni hadaa.

Naitwa Mwalimu wa Wanandoa (Pastor Richard

1:USIMTENGEMEE WALA KUOMBA OMBA KWAKE.

Wewe Kama Mwanamke Unapokuwa na Mchumba wako Usiaze kumuomba hela Vocha Kumuomba Pesa Akuhudumie au Umbebeshe majukumu Yako Bado Akiwa Hajulikani Nyumbani Au Hafahamiki Ni rahisi Sana Kudharirisha Ubint wako kwa Kuwa unatengemea Mwanamme au mchumba wako.

2:MWAMINI MCHUMBA WAKO NA USIJENGE HOFU NAE.
Futa Mtazamo wa Kutokumwamini mchumba wake
Kutokuaminiana husababisha uhusiano uvunjike na Wanaume wengi hupendwa kuaminiwa hasa kwa Wanandoa

3:MPENDE MUNGU NA KUONGELEA HABARI NYIGI ZA MUNGU
Mwanamke Unapaswa uweke Kiini Cha mazungumzo Yenu I we Ni Mungu Mnapokuwa mnaongea onesha kumtanguliza Mungu Katika Mazungumzo Yenu

Share kwa Wegine SoMo hili

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.