SOMO: MAJIRA YA BWANA YAMEWADIA
SOMO: MAJIRA YAMEWADIA YA BWANA
Tufunue Zaburi;102:13, Ezekiel;7;7-12, Daniel;7;12-25
Daniel:2;21, Luka:21:8-22
Kunawakati Unaweza Ukawa Unateswa Majira Na Wakati Kwa Kushindwa Kuelewa huu Ni wakati ngani Wakati Uliosahihi wa Bwana ukiwadia huwa Unaweza ukaendelea Kuumizwa au Kupitia Majaribu Ambayo Bwana Amekusundia Kukubariki Kwa Ajiri Ya Muda Wa Bwana.
Leo Nakukaribisha Ujifunze kuyajua Majira ya Bwana
Naitwa Pastor Richard nipo Morogoro Veta Dakawa
Kanisa la Moto wa Yesu
MAJIRA NI NINI? Ni muda uliopangiliwa na Mungu kukiendesha kitu Kama impendezavyo.
MAJIRA YAMEWADIA YA BWANA 👉🏿Maana Yake Wakati Ulio Sahihi wa Bwana.
KUNA MAKUNDI MAWILI YA MAJIRA YA BWANA.
_________________________________________________
1: MAJIRA YA BWANA YA KUKUPITISHA KWENYE MAPITO.
Haya huwa Ni Majira Bwana Akiwa Anakuadaa nakukuimarisha Vizuri Kiroho nakukufanya uwe Mfano na Ukombozi kwa Wegine kwa kuwa hukupitisha hivyo Yeye Apate Kutukuzwa Yeye.
WAJIBU WAKO KAMA MWANAE KIPINDI HIKI.
1:Usimuache Kwa Sababu ya Kipindi Cha maumivu TU.
2:Usikate Tamaa au Kunug,unika Kwani Kwa Kufanya hivyo utapoteza max
3:Ni Kipindi Cha Muda TU Walioitwa hukipitia kwa ajiri ya Bwana.
4:JIFUNZE Katika Kipindi hicho na Uje uwe Mwalimu Mzuri
5:Kazana na Simama na Madhabahu Yako Kwakuwa Ndipo utakapopokea Majira megine ya Bwana.
FAIDA ZA MAJIRA HAYA KWA ANAEPITIA
1:Bwana Atatukuzwa Kupitia Wewe
2:Mataifa Watamjua Bwana Kupitia Wewe.
3:Utaongezeka Kiwango Cha Imani ukutanapo na Mapito
4:Maisha yatabarikiwa Kupitia Kipindi kigumu
5:Utawajua Waliowako na Wanaokupenda Kweli.
2:MAJIRA YA KUBARIKIWA NA BWANA.
Haya huwa Ni Majira Bwana Akiwa Anakubariki nakutembea Katika Neema ya Bwana hutoona Ugumu Wala Kipindi kigumu hutapitia.
WAJIBU WAKO KAMA UNAPITIA KIPINDI HIKI.
1:Unatakiwa Umtumikie Mungu kwa moyo wako wote
2: Shuhudia Wegine na Uwatie moyo
3;Waongoze Wegine Wamjue Mungu
4:Linda heshima na mahusiano yako na Mungu
5;Mshirikishe Baba wa Kiroho unaposhindwa
FAIDA ZA MAJIRA HAYA
1:Hutashindwa na pito Utakuwa umeshakomaa KIIMANI.
2:Utakuwa Baraka Popote ukaapo utawavuta wegi Wamjue Mungu.
3:Utakuwa Mfano na Wakuingwa Kwa unavyoishi kwa Imani.
4:Hutandokoa au Kuiba Fungu la Kumi Utakuwa mwaminifu.
5;Hutapenda ukosane na Mungu
6;Utamfurahisha Mungu nae atakufurahisha.
7:Huwa milango inafunguka bila kuiomba ifuguke.
8;Utapenda uishi maisha yasiyo na Dhambi.
HASARA Ni KINYUME za Point Hizi
HITIMISHO
USHUHUDA
Alikuwepo Dada Alifika Kuombewa Apate mme na afunge ndoa umri ulikuwa umefika 51 Lakini nilimwambia Mwaka huu tunatembea mwaka wa Kicheko Majira aliyoyaruhusu Bwana Wewe ukacheke utaolewa na Bwana atakushagaza Akasema Baba Mimi nimekata Tamaa nikamjibu shida sio Kukata Tamaa shida Ni Mungu uliyembeba wa Kukata Tamaa Leo hii Hutakata Tamaa Ushuhuda Ni Kwamba yule Dada aliolewa akiwa na umri wa miaka 53
Nawe Nakuambia Majira yako yamefika yakuja Morogoro Veta Dakawa Kuchukua MAJIBU YAKO
WITO
Mpigie Jioni Saa 12 00 nakuendelea Pastor Richard+255759861768
Share kwa Group zako
Maoni
Chapisha Maoni