SOMO:Roho wa Bwana

SOMO:Roho wa Bwana*

2samwel.23:2 1Samweli:10:6 19:20  1Falme:18:12, 22:24 Mika:2:7 Isaya 61:1 Ezekiel 11:5
👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👂🏼

Roho wa Bwana Huyu Huwa ni Roho anayejishungulisha na Maisha ya Mtu kuyafanya yawe na ushirika Au Uhusiano mzuri kati ya Mtu na Mungu

👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

*ROHO WA Bwana Anavyopatikana Ndani ya Mtu*

Kuna vitu viwili tu Humfanya Huyu Roho akae na mtu

1:Akiwa Mtu wa Ibada na Mungu

2:Akiwa Mtu mwenye kujitoa kwa Mungu

👏🏽 *👏🏽ANAVYOMSAINDIA MTU* 👏🏽👏🏽

Huyu Roho wa Bwana Ndiye Humfanya Mtu Apate Ujasiri wa kusonga Mbele katika Ibada na Maombi Asiwe mtu wa wa kubebelezwa

Huweka msukomo Au shauku ndani mwa Mtu Aweze kumtafuta Mungu Kwa Bidii zote

Mtu mwenye Roho wa Bwana Lazima Awe na nguvu ya Kuponya kuamru kuvunja ngome za Shetani Katika Maombi yake

Mtu mwenye Roho wa Bwana Maisha yake huwa kielelezo kwa watu anakuwa wa tofauti na mwenye Kuumia asipoomba asipoenda kanisani

👏🏽 *👏🏽HUYU ROHO WA Bwana Anavyokaa na mtu aweje* 👏🏽👆🏽

Mtu anayetaka ampate lazima Awe na Uhusiano mzuri na Mungu Hasa katika Maombi Awe mwanamaombi

Awe Mtu mwenye kujitoa kwa kazi za Mungu asiyeangalia Mtu fulani

Awe mwenye Bidii na Kujiaibisha Kumtafuta Bwana

Awe Mtu wa sifa na kuabudu kinywa chake Kina Mtu kuzaa Bwana

🌲🌲ROHO WA Bwana KAZI ZAKE👆🏽👆🏽👆🏽

Kutenda Miujiza mbalimbali kuwaweka Huru wenye Mizingo

Kukumbusha Yakupasayo ufanye wakati wa uhai wako

Kutenda na Kufanya Yampendezayo Mungu

Hukufanya uwe na Hofu na Mungu

Hukupa Kuona umhimu wa kuwa na Mungu

Hukuongonza katika safari ya wokovu

Hukukinga na Vita VYA shetani

Hukemea usiku ukiwa usingizini akihisi Vita

Husumbukia Usiku ulizi wako kupambana Vita kupitia ndoto Au ndani Unasikia anakemea

🌲🌲MAOMBI KWA AJILI YAKE👏🏽👆🏽🌳

Huyu Roho Humpati kwa kuombewa Mbali kufundishwa Neno LA Mungu nawe kujenga Uhusiano mzuri na Mungu Tu

Faida zake

Utakuwa Mtu wa kutenda Miujiza na kufungua watu usipime

Atakuwa anakukumbusha yakupasayo Utende hapa Duniani

Fika Morogoro Veta DAKAWA Kwa Somo hili nakuombewa Ujazo wa Kutembea Na Roho Wa Bwana Mungu

Huyu Hutakiwa ufundishwe tu na Umwelewe Huyu Roho wa Bwana KAZI zake na Anavyotenda Kazi ndani yako Pia Kama watu

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.