SOMO: TAFSIRI

                       🥦🌳SOMO: TAFSIRI 🌳🥦
  Vitabu: Mwanzo:30:5-18, Daniel:5;17-26
  Marko:6:41 Matendo;13;8 Waebrania:7:2
1Wakoritho:12:10
Nakukaribisha Naitwa Pastor Richard
Nipo Morogoro Veta Dakawa

KUNA MTU MMOJA ALIOTA YUPO AMELALIA GODORO CHAFU NA AKAONA WADUDU WAKITOKA MWILINI.

     1:    TAFSIRI YA NDOTO HII
GODORO👉🏿IMANI
UCHAFU 👉🏿 DHAMBI
KUONA WADUDU MWILINI 👉🏿Ni uharibifu wa mwili
MAANA YAKE👉🏿👉🏿Imani aliyonayo inaruhusu Uharibifu wa Dhambi

TAFSIRI MAANA YAKE NI UFAFANUZI WA KITU UNACHOKIONA AU KUKISIKIA

2;TAFSIRI ZA MBIGUNI

MFANO
LYAMASIKA: hii Ni Lugha Ya MBIGUNI (Roho Mtakatifu)
______________________________________________________
LYAA👉🏿Husika
MAA👉🏿Wewe
SIKA👉🏿BABA

TAFSIRI: Husika Wewe Baba

Shalahbababaaaa; Hii Ni Lugha ya Roho Mtakatifu

Shalah👉🏿Nakuita/Tawala/Njoo
Bababaa👉🏿Bwana Yesu/Bwana /Mungu

TAFSIRI;Nakuita Bwana Yesu

3: TAFSIRI ZA MWILI.
Njoo Nakuita Hapa!

TAFSIRI
Njoo;Ni Wito
Nakuita:Uhitaji wa haraka
Hapa👉🏿Karibu ya..

TAFSIRI HUHITAJI UMAKINI MKUBWA WA KUSIKIA NENO KISHA KULICHAMBUA MOJAMOJA MFANO HUO JUU.

MAMBO MATATU YANAYOKUFANYA UTAFSIRI SENTESI VIZURI
1:Kusikia
2:Kuona
3:Mazingira Ya Taarifa.

KUSIKIA👉🏿Unapaswa usikilize kwa umakini na usibu harakaharaka

KUONA👉🏿Unapaswa uone na Uelewe kwa macho picha ulioiona inajumbe ngani

MAZINGIRA 👉🏿Unapaswa ujue Mazingira ya Taarifa imewasilishwa na huyo mtu ukiwa Mazingira ngani

Kisha chambua maneno kwa kuyapa maana halisi.

Muulize huyo aliyekuambia Ujue Alikuwa na Lengo lipi

UTAKUWA UNATAFSIRI VIZURI BILA KUKOSEA

FAIDA ZA KUTAFSIRI VIZURI
1:Utaishi Vizuri na Jamii
2:Utatua Kero Nyigi Zilizo ndani Yako
3:Utawasaidia wengi wanaoharibikiwa kwa kukosea KUTAFSIRI
4:Utakuwa mtu wa Kuigwa SABABU utajifunza
5:Ni Sifa ya Mungu Kuu
Ndio Maana Hutufundisha Lugha ya Roho Mtakatifu anaitafsiri mwenyewe.

HASARA ZA KUKOSEA TAFSIRI
1:Utafanya Dhambi Nyigi kwa kuwawazia mabaya
2:Hutaishi na watu Vizuri
3:Hutachukuliana Madhaifu na Wegine
4:Utachukiwa na kila mtu nakukosana nao
5:Hii Huwa Sifa za Shetani.
Ndio Maana alimwambia Hawa Kula tunda uwe na Akili Nyigi kumzidi Mungu kwa Hali ya Kawaida Ni kitu kisichowezekana.

HITIMISHO
Inawezekana Umekosana na watu kisa uliwatafsiri vibaya kumbe hawakuwa wanamanisha Kama Wewe ulivyotafsiri.

Hebu Tubu hiyo Dhambi nipigie Unieleze Simu+255759861768
Hii nayo Ni Dhambi kuwatafsiri watu vibaya.

WITO
Tuendelee Kushare nakuwatumia Wegine
@Pastor RICHARD
WhatsApp+255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.