SOMO; MAHUSIANO YALIYOPO KATI YA MADHABAHU YAKO BABA WA KIROHO na Sadaka
SOMO: MAHUSIANO YALIYOPO KATI YA MADHABAHU, MCHUNGAJI NA SADAKA
Karibu Katika Mwendelezo wa Somo Letu la Madhabahu Sehemu ya Sita kuhakikisha Hatufanyi Makosa Kujenga Madhabahu Zetu Zilizo na Nguvu za Kuleta Majibu Yetu Tuombapo.
MAHUSIANO Ni Vinavyoweza Kutengemea Vitu Vitatu Katika maisha yako
A) MADHABAHU NDANI YAKO
B) MCHUNGAJI BABA WA KIROHO.
C) SADAKA UNAZOZITOA KWENYE MADHABAHU YAKO.
A; MADHABAHU(Mathayo;23:19 Kutoka:30:28,34:13
Tulisema Madhabahu Ni mahusiano Kati yako na Mungu au Shetani
NIKASEMA KUPOKEA MAJIBU NA KUMUONA MUNGU
Hutengemea Sana Madhabahu Unayoitolea Zaka Ya Fungu la Kumi kila mwezi Kama imebeba majibu yako
UTAIJUA KUWA HII MADHABAHU YAKO KWA BABA YAKO WA KIROHO UNAPOTOLEA ZAKA DALILI HIZI UTAZIONA
1:Utafundishwa Neno Huyo mch. Utamuelewa na Masomo Yake yatakubadilisha Kiroho Utakuwa.
2:Atakuombea Huyo mch.utaanza Kuona mabadiliko ulivyokuwa Kabla na Baada
3:Utatoa Zaka na Utaona Vitu vikifunguka kwako hapa toa Zaka kila mwezi usiruke huwezi ukamdai Mungu Akupe majibu halafu Mwizi wa zaka.
4:Utakua Kiroho Haraka Na Utaongezeka kiwango Cha Imani yako
5;Utakuwa ukiomba unamuona Mungu
Hizi Usipoziona Ujue Bado hujapata Madhabahu Yako MUOMBE MUNGU Akupe Madhabahu Yaani Baba Wa. Kiroho.
Watu wengi au wakristo waliowengi Wanahagaika kutafuta miujiza kwenda Kuombewa Kwa Kuwa Madhabahu hawana na hata wakiombewa Bado Madhabahu zao Sahihi wanashindwa kuzijua lakini hata wakizijua hawatoi Zaka halafu wanaenda kumuomba Mungu ajibu kitu Ambacho hakiwezekani Kama hujajenga Madhabahu yako.
1wafalme;32_37
Elia aliamua Ajenge Madhabahu Kwanza maana alijua huwezi kumuita Mungu bila kujua Madhabahu yako
MKRISTO ULIYEOKOKA LAZIMA UJUE MADHABAHU YAKO ILI IBADILI MAISHA YAKO.
B: MCHUNGAJI (BABA WA KIROHO)(1wakoritho:9:13,Warumi:14:6
Huyu ndio daraja la kuwapatanisha nakukuongoza katika njia hii ya Kiroho ndani Yake Huyu Anayomadhambahu inayoongea kwa ajili ya Tatizo lako
1:HAKIKISHA UNABABA WA KIROHO MMOJA
2:HAKIKISHA UNAJITOA KWA BABA WA KIROHO
3:HAKIKISHA UNATUNZA MAZINGIRA NA KANISA LA BABA YAKO
yaani jitoe kushirikiana Kujenga Kununua viti
4:HAKIKISHA UNAMSHIRIKISHA KILA HATUA.
Chochote unachokula wewe mkumbuke Baba yako wa Kiroho anapata mtunze Baba yako wa Kiroho SABABU ndiye aliyebeba Madhabahu Yako Yenye majibu yako Hakikisha Unashiriki kujitoa kuiagalia familia Yake kuagalia Nini kimeisha Ili Baba wa Kiroho awe na Kazi moja TU yakutuombea Asiwaze Kitu kigine Zaidi yakutubeba tusipo mtunza hata majibu kwetu itakuwa kazi SABABU atasimama madhahusini huku anawaza familia itakula Nini .
USiTENGEMEE BARAKA AU ULIZI UTAUPOKEA PASIPO KUTUNZA MADHABAHU YAKO BABA YAKO WA KIROHO.
C) SADAKA{Luka:11:41;Matendo:3:2-10 Waebrania:8:4,9;9_28
Sadaka ndio mlango wa mkristo Kuchukua Baraka zake
Sadaka hupaswa itolewe kwa Usahihi.
SADAKA YA UKOMBOZI Yohana:3;16 Hesabu:3;49-51
Hutolewa Kwa mtu mwenye Tatizo na hupewa maelekezo na mchungaji haitolewi ovyo.
SADAKA YA KUTEKETEZWA
Hutolewa Kwa Mtu Anaetaka Kuinuliwa maisha Yake kubadilika Ni Sadaka Kubwa Sana Hupewa muogozo wa kuitoa na Mchungaji
Hii hulenga vitu vya thamani vitakavyoumiza moyo Kama Kiwanja Gari nyumba mshahara wako wote.
SADAKA YA FUNGU LA KUMI.(ZAKA) Luka;18:12
Hutolewa na Mtu anayeitaji Baraka za Uchumi Afya Ulizi
Hii haitolewi ovyo inatolewa kwa muogozo wa Madhabahu na Mchungaji atakupa utarativu
JINSI YA KULITOA FUNGU LA KUMI KWA USAHIHI
MFANYAKAZI
Unatakiwa upigie hesabu ya mshahara halali kabla ya makato yako Kiasi ngani ugestahili Upokee Hiyo ndio utolee
Kama Huna Kazi Kila Siku Jitaidi kufangia Kanisa Kufanya shughuli za kwa mchungaji
KAMA HUJAELEWA Nipigie Jioni Simu+255759861768 saa 12 00 Jioni
Naitwa Pastor Richard
Kutoka Morogoro veta Dakawa
Maoni
Chapisha Maoni