SOMO:VITA YA KUBOMOA MAWAZO MABAYA

SOMO: VITA YA KUBOMOA FIKRA NA MAWAZO MABAYA

Warumi;14:1 Wakolosai:3:5 Wagalatia:5:24  2Wakoritho:2;11 Wafilipi;4:10

USHUHUDA
Bint mmoja Alifika Hapa Kanisani Akiteseka na Ukimwi na kutokuolewa Akaniambia Baba Napata WACHUMBA Lakini Nikiwapata wanataka tukapime nnaomba Uniombee nikaolewe na nikipimwa majibu yawe mazuri nikamfundisha Masomo TU ndani ya Siku SoMo mojawapo lilikuwa ondoa Mawazo mabaya yanazuia uponyaji wako pia Simama na Zaka Kumbe alikuwa Mwizi wa Zaka na akilini anawaza Hawezi Kupona h.i.v Baada yakufuta Mawazo ya wizi wa zàka na Ukimwi alipoenda kupima Ukimwi aliukuta Hana na Leo Ameolewa.

Inawezekana Nawewe Unavita na Fikira zako na Mawazo mabaya Ambayo yamejenga Madhabahu Ndani Yako Na Unateseka maana unaombewa Uponyaji hupati kwaza unamuwazia vibaya hata Mtumishi anaekuombea Wewe Mwenyewe unawaza mabaya.

Hebu fikiria Kama wewe unawaza Usiwe mwaminifu wa zàka  hutoi Unatengemea utapataje Kupona huna unachokifanya Zaka kila mwezi hutoi au unawaza kuwa na walezi wengi wa Kiroho Madhabahu Nyigi Unatengemea majibu utayapataje bomoa Mawazo mabaya hayo.

VITA YA MAWAZO 👉🏿Ni Ushindani na mvutano katika maamuzi ya Mawazo mawili.

Unajua Kama Umeamua Kuwaza Kwa Mungu ndio kila Kitu Basi Simama na Mawazo hayo. usiaze kuyayumbisha Mawazo yako unapingwa na adui kwa Sababu yakuwaza mabaya

MAWAZO MABAYA NA FIKIRA BAYA👉🏿Ni uwaja wa kukupigia Shetani ili aweze Kukupinga nakukushinda Mawazo yako ndio yanatumika kuwa siraha yakupigwa.
Kwani Wewe unapenda Shetani akufanye uligo wa mabano yake Simama Sasa usiruhusu kabisa Mawazo na Fikira baya

FAIDA ZA KUBOMOA MAWAZO MABAYA
1;Utakuwa na nguvu yakusaindia Wegine wavuke Kwenye Mapito.
2'Utamfanya Mungu Ashughulike Na kukujibu haraka
3: Unabomoa Uwanja Mkubwa wa Shetani kwa hiyo hatakuweza
4:Utautawala ulimwengu wa roho
5:Utapokea majibu yako haraka
6:Utayaona Mambo yako yanaenda mbele
7:Utainuliwa Kiroho na Kimwili

KINYUME Cha FAIDA Hizi Ni HASARA Sasa Badilika Bomoa Madhabahu ya Mawazo mabaya na Fikira na hii huwa Vita ya Mawazo usiposimama Ukawa unaongea kujifurahisha usijishughulishe Kuwaza mazuri Ni ngumu Kuondoa Tatizo Kwako.

Nawatakia Safari Njema Mnaofika Leo Kupokea majibu yenu

Naitwa Pastor Richard
WhatsApp Number+255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.