SOMO: MBINU ZA MAOMBI
DARASA LA UJUNZI WA KUOMBA
SOMO: MBINU ZA MAOMBI
1wafalme:8:28-45, Zaburi:6;9,๐๐ฟ17:1,๐๐ฟ39:12
Kuna mtu mmoja Anajiuliza Kwanini Ufalme wa ngiza Bado unamtawala Wakati Kuomba Anaomba Sana TU Hakuna Unafuu Karibu Ujifunze Mbinu na Tarata Ya Kuomba Katika Maarifa.
Naitwa Pastor Richard
Nipo Morogoro Veta Dakawa
WhatsApp Number+255759861768
MAANA YA NENO MBINU ZA MAOMBI
Ni ujuzi wa kuwasilisha mahitaji mbele za Mungu nakupokea.
MBINU ZA MAOMBI ๐๐ฟMaarifa ya uombaji kwa mtu anaeomba
SABABU YA SOMO HILI KUFUNDISHWA
Ni kumuwezesha mwanamaombi aombe Vizuri na alete MATOKEO
Ni Kuuteka ulimwengu wa Roho Mtakatifu Nakuumiliki
Ni Kuwa mtawala na Mmiliki wa Ushindi wa Maisha Ya Kiroho.
KUNA MAKUNDI MAWILI YA UTAALAMU NA UJUZI WA KUOMBA
1:MBINU YA MAOMBI YA KIJESHI๐๐ฟ{1samweli;17:25-58)
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
2:MBINU YA MAOMBI YA KIFALME๐๐ฟ{Esther:2, Yakobo;2;8,1Nyakati;29;25
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
3: MBINU ZA MAOMBI YA KIKUHANI๐๐ฟ{Kutoka:19;6-24 Waebrania:7;10-28}
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
MBINU ZA MAOMBI YA KIJESHI
Haya Ni Maombi Yanayomtaka mkristo mwanamaombi Aende mbele za Maombi Kwa Kuuharibu ulimwengu wa roho Kuupiga nakuteka Baraka zilizo imbiwa kwa kumiliki ulimwengu wa roho nakuutawala Kisha kuudhihirisha Katika Mwili.
MAOMBI YA KIJESHI lazima kitu ukifate na Upambane Mpaka umekipata
JINSI YA KUTAMKA UNAPOOMBA.
Kuanzia Leo naufata Uchumi wangu ulikamatwa ulimwengu wa roho napinga naangusha kila aliyeshika nashika Uchumi namiliki Katika Jina la Yesu ๐ Amen ๐
-Ninaufata au Ninakifata Ninakidai
-Nabomoa Naharibu Napinga
-Naushika Naumiliki Nautawala
Tumia mtririko huu wa Kuomba Maombi haya.
๐️ MBINU ZA MAOMBI YA KIFALME
Haya Ni Maombi Yanayomtaka mkristo mwanamaombi Autawale Ulimwengu wa Roho na Kuumiliki Kisha aulete uhalisia wa nguvu hiyo ya utawala Katika Ulimwengu wa Damu na nyama.
Mfano; Huwa unaanzisha mahusiano Yanavunjika hiyo Ni Dalili ulimwengu wa roho Kuna Kitu Kilichokufunga kwa hiyo Unatakiwa uaze na Maombi ya Kijeshi Kumfata MKE wako au mmeo Ambaye Amekamatwa ulimwengu wa roho Kisha Uombe uyatawale mahusiano Mpaka ndoa uitawale.
JINSI YA KUTAMKA UNAPOOMBA
Natawala mahusiano nakuyamiliki Kwa Jina la Yesu Mimi Ni mfalme ninanguvu ya KIFALME na uharibu ulimwengu wa roho
-Ninatawala na Kuumiliki
-Ninanguvu ya KIFALME ninasauti ya KIFALME
-Hakitatoka mkononi mwangu nashika....
Tumia mtririko huu wa Kuomba Maombi haya
๐️ MBINU ZA MAOMBI YA KIKUHANI
Haya Ni Maombi Yanayomtaka Mkristo mwanamaombi Autambulishe na Ajitambulishe katika ulimwengu wa roho yeye Ni kuhani ndani Yake Kuna nguvu ya kikuhani Kisha Kuuleta ulimwengu wa Damu na nyama Kuishi katika nguvu ya Ajabu
JINSI YA KUTAMKA UNAPOOMBA MAOMBI HAYA
Mimi Pastor Richard Ni Mtumishi wako uliyenikabidhi nguvu ya kikuhani ndani yangu Leo hii namtambulisha Shetani na majeshi Yake hamuwezi kushika uchumba,au Uchumi au Elimu Yangu Kwa Jina la Yesu ๐ Amen
-Tambulisha wewe Ni Nani ulimwengu wa roho ukujue
-Omba kwa Ukakamavu
-Tamka maneno yaeleweke.
Tumia haya unapoomba
FAIDA ZA KUWA NA MBINU ZA MAOMBI
1:Utaukamata ulimwengu wa roho Nakuumiliki
2;Utalenga Shabaha Juu ya Tatizo
3:Utaomba Maombi Yaletayo MATOKEO
4:Utaona vitu vinabadilika nakwenda vizuri
HASARA zake Ni KINYUME Cha haya
HITIMISHO
Pendelea Kujifunza Maombi Ili uwe mwanamaombi uliye motoo
waalike wengine wafatilie Ukurasa wa fb Moto wa Yesu au Bishop Richard YouTube Kanisa la Moto wa Yesu
WITO
Tupende Maombi
Share kwa wengine
Maoni
Chapisha Maoni