SOMO: MADHABAHU Part 4
SOMO: AGANO LA MADHABAHU YA MUNGU. part 4
Warumi;11:3 Kutoka;29:16, 1samweli:2:33 Yoshua;22:29
👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿
Karibuni Mwendelezo wa UJEZI wa MADHABAHU Leo Tuagazie Jinsi yakuweka Agano na Madhabahu Za Mungu ndani Yetu.
Mtu Yoyote anayetaka Madhabahu Yake na Mungu idumu anapaswa aweke agano na Tabia za Kimungu nakutembea na Mungu mwenyewe.
Gharama za Agano la Madhabahu yakimungu ndani yako
1:Mkiri Bwana Yesu Awe mwokozi wako
2:Amua Kutoka Madhabahu ya Baba zako uende Madhabahu aliyokupa Mungu.
3:Mungu Kumtengemea Katika Kila Kitu
4;Kuwa mwaminifu wa Zaka
5:Badilisha Mtazamo wako umuone Mungu Ni muweza.
MADHABAHU KUKAMILISHA AGANO LAKO NA MUNGU
1:Badilisha Tabia Zote za Kale Ujege Tabia za Kiungu ndani yako
2:Weka muda na kufanya Mazoezi yakuomba nakumsifia Bwana nyakati zote
3:Futa Mawazo yakushindwa au Kuwaza ya kale na mabaya
4:Jishughulishe mwenyewe Kumuona Mungu ananguvu
5:JITOE Kwa Mali zako na Kumtumikia Mungu
Nawatakia Jumapili Njema usikose Mwendelezo Jumapili
Maoni
Chapisha Maoni