SOMO; MADHABAHU Part 2

SOMO; JENGA MADHABAHU ILIYOMO NDANI YAKO
                UTANGULIZI
HUWEZI KUPOKEA MAJIBU USIPOJENGA MADHABAHU HUWEZI KUPOKEA MAJIBU KAMA SADAKA HUTOI NA HUWEZI KUTOA SADAKA HUNA MADHABAHU NA USIPOKUWA NA MADHABAHU HUNA MAJIBU
1Wafalme;18 Soma huu Ushuhuda Jinsi Eliya alivyojenga Madhabahu Yake na Akamuita Mungu Moto ukashuka Si Jambo Jepesi Uweke maji Uchukue g,ombe ukatekate halafu Muombe Mungu Alete Moto apike wakati huo Anashindana na Watu 450 Wewe Unaweza Ukawa Mtu mmoja au wachawi mapepo yakakutoa Jasho au Tatizo likawa Sungu hailishagi Kutokana Hujajenga Madhabahu Inayoleta Majibu Hujajenga Madhabahu Takatifu Yaani Lazima Uelewe MUNGU wako Ni Mtakatifu na Ni mkuu mnoo Lakini ukijenga mungu wako bado Ukawa Unatenda maovu Unazini huku unamuomba Mungu Hapo Tayari Unakuwa umejega mahusiano na mungu mchafu.

UJEZI WA MUNGU KWANZA NDANI YAKO.
Mungu Ni Mungu TU Hana analoweza Kushindwa Isipokuwa ndani Yetu au Kwenye mioyo Yetu Tunambeba Tofauti Tunaona Hakuna UTOFAUTI Kati ya Mungu na mungu.

MUNGU/Mungu hii humanisha Mungu Mtakatifu Mungu mkuu Aliyemo ndani yako Asiyependa Maovu yaani ukitenda Dhambi dhamira inaumia.

Wewe huwezi Kuliganishwa Mungu wako na mlevi au mganga au mchawi hao wanamtukuza mungu japo katika kutaja yote hayana UTOFAUTI utofauti inakuja mwingine atamtaja Mungu Dhambi ataichukia na maovu mwingine atamtaja mungu atafurahia Dhambi.

MADHABAHU HILI N NENO LINALOMANISHA👉🏿🙏 MAHUSIANO KATI YAKO NA MUNGU au mungu(Shetani)

Mahusiano Hayo huaza kwa Kumjua Mungu wako Kwanza
Yaani kuelewa Mungu uliye nae Ni mkuu Sana na Anapenda Usafi wa moyo sio Mungu anayependa uchafu wa moyo.

Mungu wako hapendi Uzinifu Mungu wako hapendi Miungu Uchonge Sana halafu uabudu Hapendi Uweke Chochote ukiabudu Hataki.

HATUA YA PILI
Hakikisha uwe na Baba Wa Kiroho mmoja TU Usiwe na Mababa Wengi na hapo Kwa Baba wakiroho uwe mwaminifu wa Fungu la Kumi kila mwenzi Chochote unachokifanya kitolee Zaka Simama Usije Kutoa Zaka nje ya mlezi wako wa Kiroho.

BABA Wakiroho Muombe Ushauri Na Ufatilie masomo Yake anayokufundisha

SIFA ZA BABA WA KIROHO
1:Awe na MKE mmoja na Mfano kwa Jamii
2;Awe na Kanisa na Analiongoza
3:Awe anayefikika na Kumweleza haja zako
4:Awe anayejua kufundisha

BABA wa Kiroho ndiye aliyebeba majibu yako wewe na ili uyapokee ushiriki kwa uaminifu SADAKA

Mfano Ni Watoto wote wa Pastor Richard Ambao wamekuwa waaminifu katika Madhabahu hii Kutoa Zaka Shuhuda naziona na hata wewe unaona Shuhuda

HATUA YA TATU KATIKA UJEZI WA MADHABAHU
Jenga Mafundisho ya Neno la Mungu na Kwenda Kanisani kuwa mwaminifu Kupenda Mafundisho Na Kwenda ibadani Hata Kama Baba yako wa Kiroho Yupo mbali au Madhabahu yako IPO mbali tafuta kanisa ulipo unaenda usikae bila Kwenda Kanisani.

HATUA YA NNE JITOE SADAKA YA MALI ZAKO NA MUDA WAKO hakikisha unamtolea Mungu Sehemu ya Mali zako Sehemu ya mshahara wako Unafanya Jambo linalohusu Kanisa.

Kuwa na Alama Ya Kudumu mfano toa kiwaja Cha kanisa nyumba gari viti Vyombo vya mziki Mshahara nk

UNAPOJENGA MADHABAHU YAKO NDIO MUOMBE MUNGU SASA ATASHUKA NAKUTENDA.

Mbarikiwe Wote

HITIMISHO
Tengeneza Madhabahu Ndani Yako umuite Mungu Ashughulike Na Mungu wa Baali magonjwa Umasikini Vifungo Ndoa

WITO
Usiishi Bila Kuwa na Madhabahu na Simama kuitolea Sadaka TU itashughulika na Maombi Yako usipoitolea itanyamaza kimya

By Pastor Richard
WhatsApp+255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.