SOMO: JUHUDI ZENYE NGUVU

        SOMO: JUHUDI  ZENYE NGUVU.
♿♿♿♿♿♿♿♿♿♿♿♿♿♿♿
Tufunue Biblia Zetu👉🏿Warumi:10:2-6👉🏿Warumi:12;11-15👉🏿Tito:2:14-16
Zaburi:119:139

Ushuhuda Mfupi;
Pili alipewa 10000 Kama mtaji Baada ya miezi 5 alirudisha 20000 na mtaji Waka ukiwa umefikia 250000

Siku Moja Nilikuwa Katika Kuhubiri injiri  za mtaani nilipokuwa nahubiria Ni kwenye vijiwe vya mateja na wavuta mbagi Gafla Vijana Waliinuka  Kwa Somo lilikuwa Amelaniwa Amtengemeaye Mwanadamu moyoni mwake Anajishuhudia Hakuna Mungu Wala Watumishi Wa Mungu wakweli Somo liliwangusa Vijana wakashika mawe na wengine wakanisongelea Lakini Sikuogopa Na mwisho wa Siku walimpokea Yesu.

KARIBUNI Naitwa Pastor Richard Ninaewakaribisha Nipo Morogoro Veta Dakawa WhatsApp Number+255759861768

MAANA YA NENO JUHUDI 👉🏿Kujituma au Kujitoa

JUHUDI ZENYE NGUVU 👉🏿 Ni Hali iliyomo ndani ya Mtu inayomsukuma kufanya Jambo Pasipo Kusukumwa au Kulazimishwa afanye

KWANINI SOMO HILI NI MHIMU KWAKO👉🏿Kwa Sababu Chochote Utakachoitajitoa kukifanya huwa TUNAITAJI JUHUDI ZENYE NGUVU ili kuleta matokeo chanya.

Mfano Kama Umeamua Kukimbilia Maombi Unapaswa Jitume Kuwa Unaomba Usikae Unaambia watu wakuombee harafu wewe huombi.

Kama Unataka mafanikio Lazima Ujitume kufanya kazi na Kubuni Njia mbalimbali Za Kuingiza Uchumi

Kama Unataka Ukue Kiroho na Usimame Kiroho lazima Uwe na JUHUDI katika Mafundisho ya Neno na upende Kujifunza

Chochote UKITAKA Ukipate inakupasa Ujitume Kukitafuta au Kukifatilia nakujifunza Utavuka Usiwe Lengevu na Mvivu Sababu hutakipata.

WATU WENYE JUHUDI ZENYE NGUVU WANADALILI ZIFATAZO
1:Huwa Ni Watu Wanaojituma bila kukatishwa Tamaa na mazingira.
2:Huwa Ni Watu Wanaopenda Kujifunza Wanapokosea au Mambo Kuharibika
3:Huwa Ni Watu Wanaojitambua Nini wanafanya na Kinafaida ngani
4:Wanamtengemea Mungu nakumuweka mbele.

MAKUNDI YA WATU WANAOKUWA NA JUHUDI
A; JUHUDI ZA KUSUKUMWA NA WATU
Hizi Ni JUHUDI Ambazo mtu Hawezi kufanya Jambo peke yake mpaka awe kila siku Anaambiwa au Afate mkumbo wa wengine kwa kifupi hajitumi peke Yake

B; JUHUDI ZA KUJITOA PEKE YAKO BILA KUSUKUMWA
Hizi Ni JUHUDI za mtu mwenyewe Kujitambua nakujituma Kufanya Jambo analoona litamletea mabadiliko Yake BINAFSI.

FAIDA ZA KUWA NA JUHUDI ZENYE NGUVU
1:Utamfanya Mungu Akufikishe Pale alipokusundia
2:Utaliishi Kusundi la Mungu Nakulifikia
3:Hutashindwa na Maisha ya Kiroho na Kimwili
4:Utajifunza Na Kujirekebisha mwenyewe unapokosea
5:Utakuwa wa Viwango Kiroho na Kimwili

KINYUME CHA HAYA NI KUPATA HASARA YA KUKOSA JUHUDI ZENYE NGUVU.

HITIMISHO
Warumi 12:11
[11]kwa bidii, si walegevu; mkiwa na juhudi katika roho zenu; mkimtumikia Bwana;

Imetupasa Tuwe na Bidii na Juhudi Kufanya Kazi Ya Mungu na hata kazi Zetu

WITO
JIFUNZE Kwa Waliokutangulia Kimaisha au Kiroho

Share Zaidi.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.