MAOMBI YA KUOMBA UKOMBOZI

MAOMBI YA KUOMBA MTU ANAEUMWA MIGUU NA MIKONO.

Mambo Ambayo AZingatie
1:Anunue mafuta ya mgando mapya
2:Awe Miguu inawaka Moto na mikono
3:Ayaombee mafuta na anapaka kila Baada ya Kuonga
4:Apake Kuazia chini ya Miguu kupanda juu mpaka magotini
5;Mikono Apake viganja kwa nje na ndani.
6;Yashike Juu mafuta unapoombea

Jinsi Yakuombea Mafuta hayo.
B"Hata nitawaweka Adui Zangu nitawaweka chini ya Miguu Yangu 1wakoritho:15:25 Ninaamuru mafuta haya yageuke yawe uponyaji Yawe Uzima Kila Uchawi uliotengeshwa Barabarani na Umeunganishwa na Miguu Yangu na mikono naivua Kwenye Miguu na mikono Kuazia Leo Mafuta haya yakafute kila uchawi ndani Yangu Kwa Jina la Yesu 🙏Amen.

Rudia Mara 7

MAOMBI YA KUOMBA KWA MTU ALIYEBUBU NA KIZIWI MTU MZIMA.

Mambo YAKUZINGATIA unapojifungua
1:Shika masikio Yako Kupitia kidole Kuingiza masikioni
2:Fanya Zoezi unatoa Kwenye sikio nakuigiza kidole wakati Unaomba
3:Bubu shika Kinywa chako Kupitia vidole vyako
Unapoomba natoa Sauti
4:Fanya hivyo Huku Vidole umeshika Kinywa chako
5;Usijifungue Maombi haya mtoto yanalega mtu mzima
6:Unatakiwa uwe na Sadaka Yako Ya Ukombozi utanipigia Kupitia simu

JINSI YA KUOMBA MTU HUYU MWENYE TATIZO HILI.
Zaburi:38:13
Nimekuwa Kama Kiziwi Kweli Sisikii na Nimekuwa Kama Bubu Sifumbui Kinywa changu wakati wewe unajua umeniumba Mimi mzima lakini Shetani Amenifungua masikio na Kinywa ili nisiweze kumuaibisha alijua Mimi nitakusifu na kukuimbia Sasa Baba Yangu Naomba utende Kwangu nifanye nisikie nifumbue Kinywa changu ili Niuharibu nakuaibisha Ufalme wa ngiza Kwa Jina la Yesu Masikio sikia Kinywa fumbuka katika Jina la Yesu🙏AMEN,

Rudia Mara 5

MAOMBI YA KUOMBA KWA MTOTO ALIYEBUBU NA KIZIWI Umri Miaka  5-20

Mambo YAKUZINGATIA
1:Anayetakiwa kumfungua nakuomba Ni mzazi mama.
2;Mama anatakiwa Amshike masikio mwanae au Kinywa
3:Ashike na Tumbo lake mama Anapoomba
4:Aelewe chazo Ni Tumbo lilombeba ndio ilishambuliwa na Adui
5:Awe na Sadaka Yake ya Ukombozi Kabla hajaomba apige Simu.

JINSI YA KUOMBA MAOMBI.

Baba Katika Jina la Yesu Kupitia Sadaka Hii ya Ukombozi namfungua mwanangu masikio Yake Kinywa chake Ububu Wake aongee kila Adui aliyemgusa mwanangu nakataa Ukiziwi ndani Yake nakataa Ububu ndani Yake Katika Jina la Yesu Nag,oa Nag,oa Ububu na Ukiziwi Tumbo langu ulilibariki watoto wote wazima katika jina la Yesu 🙏 Amen 🙏

Rudia Mara 5

MAOMBI YA UKOMBOZI WA DAMU YAKO.

Haya Maombi hulenga mtatizo yote yanayopatikana Kwenye Damu ukipimwa na Tabia za Asili ukiwa na matatizo ya hivi unaitajika ukomboe Damu yako

Mambo yakuzingatia Ni haya
1:Unatakiwa Usiombe bila Kupata muogozo kwa Pastor Richard
2: Unatakiwa uwe Umepata Somo la Ukombozi wa Damu
3:Utakuwa na Sadaka kulingana na maelekezo ya Roho Mtakatifu
4:Haya Ni Maombi Yaitaji Uwe na Imani.

JInsi Ya Kuomba

Waefeso:1;7 Katika Yeye Yesu Mimi Richard Ninaoukombozi wa Damu wa msamaha wa Dhambi na MAGONJWA Yote yanayohusu Damu yangu Mimi nimekombolewa najikomboa Damu yangu naifuta Dhambi iliyoandikwa Kwenye Damu Nafuta dhamibi iliingizwa kuunganishwa na Damu yangu Nabomoa Madhabahu za KICHAWI Zilizojengwa na wachawi Kupitia Damu Yangu Nabomoa Madhabahu za ukoo Zilizojengwa na magonjwa au Tabia Yenye Asili ya Wazazi wangu Kupitia Sadaka Hii nalipa Sadaka Zote Ambazo walilipa Madhabahu Zao Zinitese Kwa Jina la Yesu Nalipa Sadaka zao na Sadaka Hii ikaongee Katika Madhabahu ya Moto wa Yesu Katika jina la Yesu 🙏 Amen

Rudia Mara 12

MAOMBI YA KUOMBA KWA MAHUSIANO YALIYOVUNJIKA.

JInsi Ya Kuomba Maombi haya
Ninamrudisha Mchumba Wangu na kumfungua Atoke Kwenye Vifungo vilivyomshikilia Awe Mtu Asiyetaka Kufata taratibu ambaye Anakuwa na hasira chuki Sizitaki namrudisha akaje nakwenda Kutambulishana Katika jina la Yesu 🙏AMEN.

Rudia Mara 3

MAOMBI YA KUOMBA ALIYEMJAMZITO

1:Shika Tumbo lako wewe uliyemjamzito
2:Omba ukiwa na Imani

Baba Katika Jina La Yesu nafungulia milirinja ya Uzazi Nafungulia nyoga Zangu Katika Jina la Yesu Naharibu Kila nguvu Ya Ufalme wa ngiza ulioshika Ujauzito wangu nakataa oparationi Kukosa nguvu za KUSUKUMA mtoto Katika Jina la Yesu Nabariki Tumbo langu Katika Jina la Yesu 🙏 Amen 🙏

Rudia Mara 4

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.