SOMO:MADHARA YA UZAZI WA MPANGO
SOMO:MADHARA YA KUTUMIA UZAZI WA MPANGO
Mithali;9;9
Naitwa Mwalimu wa Wanandoa(Pastor Richard
WhatsApp number+255759861768
Watu wengi hutumia Uzazi wa MPANGO Pasipokujua au Kupewa Elimu ya Athari na MADHARA Ambayo hujitokeza Karibu ujifunze
MADHARA YA SINDANO ZA KUZUIA MIMBA
(1) Usumbufu hedhi
(2) Kuumwa kichwa mara mara (3) Kizungu zungu
(4) Kichefu chefu
(5) Kuongezeka uzito usiokuwa na faida.
MADHARA YA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA
(1) Huathiri fuko la uzazi kwa ndan
(2) Kuongeza uzito wa ute utokao katika njia ya uke ili kuzuia mimba kutunga
(3) Kuumwa kichw mara mara
(4) Kupata kichefu chefu
(5) Kutopata hedhi kwa baadh ya wanawake
(6) Kubadilisha mwenendo wa dam
(7) Kuliathir ini kidogo kidogo
(8) Kupata kisukari
(9) Kupata ugonjwa wa moyo
10) Kupooza upande mmoja wa mwili.
MADHARA YA KITANZI
(1) utokaji ovyo wa damu
(2)Kutoboka fuko la uzazi
(3) Kuongezeka kwa upana wa uke na kuifungua lupa na kufungwa kwa uzazi.
MADHARA YA KIJITI
(1) Husababisha kansa
(2) Huchanganyikiwa akili Akili
3) Shinikizo la damu
(4) Maumivu makali wakat wa tendo la ndoa
SUHULISHO
Tafuta au Fika kwa Madaktari wakusaidie kulingana na ukubwa wa Tatizo lako au Kama wewe Ni mtu mwenye Imani Tafuta Wachungaji wakusaidie
Maoni
Chapisha Maoni