SOMO:KAZI ZA MALAIKA

SOMO::✍πŸΌπŸ‘‰πŸΏKAZI ZA MALAIKA ✔️
πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡πŸ‡
Funua Vitabu hivi;Mwanzo:16;7-12πŸ‘‰πŸΏ Kutoka:3:2-5
Ufunuo:14;6-19πŸ‘‰πŸΏWaebrania:13:2,2;1-16 πŸ‘‰πŸΏYohana:5:4
Luka:1:38
Mwalimu; Bishop Richard
Kanisa la Huduma ya Roho Mtakatifu
Morogoro Veta Dakawa
Simu WhatsApp+255759861768
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
SOMO HILI LIMEANDALIWA NA ROHO MTAKATIFU NAKUWASILISHWA NA BISHOP RICHARD Katika nguvu ya Roho SI SoMo la kawaida
Linaupako na mafunuo ya Kimungu.
Malaika Ni Nini?
Mailaka Ni watumishi wa Mungu waliopo mbiguni wanaoteswa Kazi Pamoja na Mungu mbiguni.

MAANA YA MALAIKA
Ni Utumishi wa Kimungu au Mtumishi.

LENGO LA KUJIFUNZA UWAJUE KAZI ZAO NA WANAVYOTENDA KAZI

SABABU KUU
1:Kuwatumia nakujua Jinsi ya Kuwatumia
2:Kuwa na elimu juu ya Malaika

MALAIKA WAKOJE
1:Malaika Wapo wanaojitokeza kwa muonekano Kama Wageni au watu
2:Wapo Malaika wanaonekana Katika Utukufu wa nuru au cheche Kali za Moto

TUAGALIE MALAIKA MMOJA MMOJA KAZI ZAO.

TUNAANZA Na Malaika Ngazi ya Juu Kule Mbiguni huwa Ni

1:MAKERUBI
Hawa Ni Malaika wakubwa Sana Kimamlaka na Uwezo walionao Kule mbiguni. MAKERUBI Ni Malaika waliozunguka Utukufu wa Mungu mbiguni Wapo makerubi wanne Wakiimba Haleluyaaa Wastahili Bwana Haleluyaaa Wastahili Bwana Kutoka wale wanne Wapo nyuma ya ile safu Makerubi Sita  Ambao wao Hawaibi  lakini wanamtukuza TU Mungu wakisema Amen Haleluyaaa Ameen Haleluyaaa.

KAZI ZAO MAKERUBI
Mwanzo:3:24 Kutoka:25-20
Zaburi:80:1πŸ‘‰πŸΏTusome hii mistari

1:MAKERUBI ndio waliokaa na Mungu Karibu nae na Mungu anawapa ujumbe makerubi nao makerubi wanawapa ujumbe Malaika wautekeleze Kuligana na Mungu alivyoagiza
2:Makerubi wanamtia nguvu Mungu kwa kumtukuza nakumwambia Wastahili wewe Bwana Wewe mwenye enzi Utukufu na nguvu zinakuwa zinaongezeka kila Leo Kupitia kupewa Sifa Kemkem
3:Makerubi Ni Malaika wakuu na wenye nguvu Sana

MUONEKANO WAO WALIVYO
1:Huwa wanamabawa Sita  yaani kulia mabawa matatu huku kushoto mabawa matatu
2:Huwa na nuru Kali mno na hawaonekani huku duniani huwezi kuwaona

2:MASERAFI
Hawa Ni Malaika Wa Sifa Kule mbiguni Ni Malaika Wapo wamezunguka Safu ya nyuma ya makerubi wakisifu.
Hawa huachilia Sifa na nyimbo Nzuri Sana wanacheza na Mpaka Mungu huinuka nakuachilia majibu Baraka Mbalimbali Kupitia Sifa.

KAZI ZAO MASERAFI
1;Kumsifu Mungu tu nakumwinua
2;Kupiga makofi na Kumtukuza Mungu
3;Pia Hawa hushuka hapa Duniani Kupitia Sifa mtu anaposifu

3:WAZEE 24
Hawa Ni Malaika waliopo mbiguni Safa ya tatu Kutoka Utukufu wa Mungu Hawa ni Malaika Ambao Mungu Amewaweka Kwa Ajili ya Kuwashauri na Kutoa maelekezo ya Mungu Kuwapa Malaika Wegine.

KAZI ZAO
Hawa Kazi zao Ni Kushauriana na makerubi maserafi  na wenye uhai wanne na Kuwapa maelekezo maraika wengine

Hawa Ni wazee wamepewa jina Hilo hutenda kazi zakuweka Utaratibu usimamiwe vizuri Kama Mungu anavyotaka na Katika wazee Hawa ikitokea mmoja Wapo amegeuka hushushwa nakuwa Malaika wakawaida.

4: MALAIKA WA VITA
Hawa Ni Malaika Wanaokaa Safu ya Nne  Kutoka Kwa Makerubi Malaika wa Vita hushughulika na Kuweka Hali ya Usalama mbiguni

KAZI ZAO
1:Huwashambulia nakuwakama Malaika wote jeuri na wanaokeuka Mungu atakavyo
2:Huwafunga Malaika nakuwaadhibu kwa kufata Sauti ya Kerubi
3:Hushuka duniani kumsaidia mtu akiwa katika wakati mgumu.

5:MALAIKA WAPELELEZI
Hawa Ni Malaika waliojichanganya Kila Kundi la Malaika Kule mbiguni lazima wawemo makerubi na Mungu TU ndio wanawaelewa wao wanakuwepo kile kikundi wakifatilia Mienendo ya kila Kundi.

KAZI ZAO
1:Huhakikisha wanapata Taarifa za kila Kundi nakuzipeleka kwa Makerubi
2:Hushuka duniani nakufichua kila palipo na uharibifu wa Shetani
3: Huishambulia kazi za Shetani kwa Siri Kimya Kimya

Inaendelea Part 2 Ya SoMo hili Usikose

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.