SOMO: Utaratibu wa Kujinasua kutoka katika Vifungo vya kutokutembea na Roho Mtakatifu

SOMO;UTARATIBU WA KUJINASUA KATIKA VIFUNGO VYA KUTOSIMAMA KATIKA ROHO MTAKATIFU

MAMBO HAYA LAZIMA UJUE.

1:HOFU
2;TABIA
3;MAFUNDISHO
4;MIKATABA
5;UZINIFU

1;HOFU;- ni hali ya mtu kutokujiamini kama mtoto wa Mungu mwenye uweza.

mtu asipojitambua uweza wake na Kujua MUNGU ALIYEHAI UWEZO WAKE atakuwa mtu asiyejiamini katika
1;MAOMBI YAKE
2;NJIA ZAKE
3;UAMUZI WAKE

Hofu  ni kipi huwasababisha watu.

-woga na mashaka katika dani ya mtu

-kutokujiamini kuwa unaweza

-mawazo ya kushindwa yaani ukiaza kufikiri huwezi au utashindwa ujue unaenda  kuaguka kiroho.

UTAWEZAJE   KUISHIDA HOFU MTOTO WA MUNGU

-1: JIAMINI katika hali ya kujiamini elewa we mtoto wa MUNGU TAMBUA KUJIAMINI NI SILAHA YA KUFANIKIWA.

2:MAWAZO YA NJEGE UWEZA. katika hali    ya kujenga wazo lenye nguvu ya mafanikio.

1;Mwelewe Mungu katika roho na shetani mtambue ktk roho. lakini ndio akupaye hofu  aweze kukuagusha kiimani na kukuvunja moyo.

2:MWAMINI MUNGU elewa na uwaze ya kuwa neno lake MUNGU Linauwezo pale linapotamukwa huenda kuumbika hivyo.

3; MKARIBIE MUNGU NA UJUE YEYE ANAJUA MAPITO YAKO hali hii ufikiri.
-uweza
-neno
-kufata utaratibu na fundishapo neno
-kusimama kutokuwa mtu wa kutotulia kwa Mungu
-Tulia na Mungu nijibu lako
-njega kuona unaweza  kila wazo lako lijenge katika kujiamini

TABIA;-Hii huwa matendo au njia za mtu inayomfanya mtu aingie  katika sehemu ya...
  ;MUNGU;- watoto wa Mungu hutenda katika
-mema
-kutokuelemewe na udhaifu wa dhambi
-kutokufata njia zisizo faa

SHETANI;- watoto wa shetani hutenda katika
-maovu
-hofu
-kuelemewe na udhaifu wa kutenda dhambi
-kuelemewa na mawazo potofu ya kwenda kwa waganga
-kuelemewa na dhuluma uzinifu na utapeli nk

TABIA HUKULETEA MAFANIKIO AU HASARA KULIGANA NA UNAYE MUWAKILISHA NJIA ZAKO.

KAMA MUNGU UTAVUNA FAIDA KUWA JASIRI KUMPENDA KWA KUMANISHA KUWA MTOAJI MZURI MAOMBI KUWEKA RATIBA YA KUSEMA NAE.

KAMA SHETANI  MATENDO YAKO YATAKUELEZA UTAKUWA MTU WA MAWAZO POTOFU MLEMAVU WA FIKRA NA MAWAZO MDHAIFU WA UZINIFU SI MTU UNAYEFANYA JAMBO UNAJIAMIN NK

MAFUNDISHO:-Huwa hali ya kuelimishwa jambo na ukatembea hivyo ili ufikie haki yako.

MAFUNDISHO utayapata
1: Facebook na Tovoti
2;Kanisani

FAIDA YA KUTEMBEA NA ROHO MTAKATIFU
1:Atakuongoza kujua mengi nakutatua
2:Utakuwa na Uwezo wa kusimama
3:Utavuka mengi Kupitia nguvu ya Roho Mtakatifu

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.