SIFA 5 ZA MKE WA KUOA
SIFA 5 ZA MWANAMKE WA KUOA
🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳🌳
Mwalimu wa Wanandoa
Pastor Richard @2021
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
KARIBU VIJANA WA KIUME DARASANI
Mstari wa Biblia:Mithali:12:1
Kutoka 31:3
[3]nami nimemjaza roho ya Mungu, katika hekima, na maarifa, na ujuzi, na mambo ya kazi ya kila aina,
1:IMANI
Hi ndio huwa nguzo muhimu ya kuagalia mwanamke asiyekuwa na Imani Hawezi Kujenga ndoa atabomoa ndoa haraka uagalie haya
a.Awe na Msingi mzuri na Mungu Awe Anampenda Mungu na anasali
b:Awe Mtu mwenye msimamo na maamuzi yasiyoyumbishwa na Mtu.
2:MATUMIZI.
Mwanamke mwenye matumizi mabaya ya fedha kwenye uchumba unaona TU Mara Ni ninunulie I phone ninunulie nguo Mara hii matumizi ya rafurafu mwanamke mwenye matumizi mabaya ya vitu vyake Pesa hamuwezi kufanya maendeleo yoyote mkiingia kwenye ndoa.
3: MTAZAMO/ MWENYE UWEZO WA KUBUNI VITU NA KUJISHUGHULISHA
Mwanamke mwenye kuona mbali na Mtazamo Mkubwa wa Maendeleo atakushauri nakukufanya mfikie maono Yenu mapema
4:ANAEKUPENDA UTU WAKO SIYO ANAEPENDA MALI ZAKO,CHEO CHAKO.
Usioe mwanamke Ambaye Amevutwa kwako kwa Pesa mpende aliyevutwa kwako na Utu wako mwanamke Anayeagalia utu wako siyo anaeagalia Kazi Yako Mali Zako Pesa Zako.
5:AWE ASILI
Mwanamke anayeharibu sura yaks na umbo lake alilopewa na Mungu Huyo siyo mke Kuoa. mwanamke muoe mwenye Asili Usioe Copy ya mwanamke.
6:Ongeza Yako Katika Sifa Iliyosaulika Kuandikwa
@2021 Pastor Richard
WhatsApp number+255759861768
Maoni
Chapisha Maoni