MISINGI (10) YA IMANI YETU YA KANISANI YA HOLY SPIRIT

MISINGI (10) YA IMANI YETU KANISA LA HOLY SPIRIT

🌐Sauti Yetu Ya Pamoja Kama Kanisa la Roho Mtakatifu Tunaamini Huduma ya Roho Mtakatifu Ni Ukombozi wa fikira na mawazo ndani ya mtu Hali ambayo hufanywa na Roho Mtakatifu
*Kufundishwa Neno la Mungu
*Kuombewa Tatizo kwa kufata chazo Cha Tatizo ambalo Roho Mtakatifu hulifunua nakulionesha;
Mstari wetu unaosimamisha Imani Yetu
2Wakoritho:3:6

🌐🌏Tunaamini Mungu Ni mmoja na wakweli Tena Ni Roho Ambaye Ameziumba Roho Zote Zinazoonekana na Visivyoonekana
Yohana:4:24 Mwanzo:1 Isaya 43:10

🌏🥝🌐Tunaamini Dhambi ndio chazo Cha Mwanadamu kukosana na Mungu
2Nyakati:7:14-16

🥦🌏🥦✔️Tunaamini Hakuna Gumu Kwa Mungu Yote anaweza
Yeremia:32:27 Matendo;8;37

🥦🥦🥦🌐Tunaamini Sisi Ni Wahudumu wa Angano jipya katika Roho Mtakatifu na SI Katika Mwili
2Wakoritho;3✔️✔️Soma Yote

🌐🌐🌐Tunaamini Ubatizo wa Roho Mtakatifu Ambao Mtu Ili Apokee UBATIZO huu lazima Abatizwe kwa maji mengi.
Mathayo:3:11-12 Mathayo:28:19-20 Yohana:14:23

🌐🌐Tunaamini Mtu akiwa  Ameokoka katika Roho hawezi Kutenda maovu yaani mtu akipokea Roho Mtakatifu nguvu hii humbadilisha mtu
2wakoritho:3:17 Matendo:2:4

🌐🌐Tunaamini  miujiza ipo Katika Neno la Mungu
👉🏿Kwa kuwafundisha watu Neno la Mungu Ambalo huwakomboa na Kuwaponya
Waebrania:4:12

🌐🌐Tunaamini  uchungaji Ni wito na uchungaji sio Kujiita Ni Kuitwa nakuitika Kuifanya Kazi Ya Mungu kwa moyo wako wote
Kutoka;3:2-3

🌐🌐Tunaamini Kuna makao mapya Baada Ya Kazi ya hapa duniani Kuna mbingu na Jehanamu
MBingu IPO kwa Ajili ya walioamua kumfata Yesu nakuachana na maovu
Jehanamu IPO kwa Ajili ya wale waliomfata Shetani kwa kutenda Maovu
Yohana:14:2

Kanisa la Huduma Ya Roho Mtakatifu Ni Ukombozi kwa Watu wote
MOTO WA YESU:
2WAKORITHO:3:6

WhatsApp Bishop Richard Julius Kushoka
+255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.