SOMO: MUNGU ASIYEKAWIA
SOMO: MUNGU ASIYEKAWIA KUJIBU
Mtu Mmoja alikuwa anateseka na Uzazi Kila Alipoenda Kwenye Maombi Alitamani Kupata mapacha na alikuwa mwaminifu wa ZΓ ka na Maombi yakufunga alifunga Sana Anasema SIKU Moja akiwa mtandaoni akakutana na Ushuhuda wa mapacha wawili Akakoment nami SIKU nikifika TU Kwa huyu Pastor Richard nitafunguka ALIPOFIKA KANISANI Tumbo lake Akafunguliwa Akapata Watoto watatu Na Mungu Kuna wakati unatakiwa utambue Mungu uliye nae hakawii isipokuwa wewe unakawia Kufika Madhabahu iliyobeba majibu yako
π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³π³
Zaburi;119:60ππΏ Mwanza 34:19ππΏLuka,:1;2ππΏ Matendo;25:17
MAANA YA MUNGU ASIYEKAWIA ππΏπ³✍πΌNi Mungu Asiyechelewesha Majibu
SABABU ZA KUKAWIA KUPATA MAJIBU YAKO
1:Hutokana Na Kukosa utii wa Sauti ya Mungu na Mlezi wako kiroho yaani mchungaji wako.
2:Kutamani Kitu unachokitaka Lakini Ukawa unajichanganya Katika uaminifu wa zΓ ka usitoe au ukatoa katika Madhabahu Ambayo haijabeba majibu
3:Kutafuta Kitu Usijue Nini kinakuzuia kukipata usiwe na macho ya ROHONI
4:Kukata Tamaa na Kukosa Imani Ya Mungu wako
5;Kukosa Maombi au Kuendelea kuomba.
NJIA YA KUTATUA USIWE NA ROHO YA KUKAWIA
1:Kuwa na Imani Yenye NGUVU Na Isiyo Kata Tamaa
2:Tuwe na Macho ya ROHONI Tumtafute Mungu Sana.
3:Tuombe Na Tumjue Mungu Wetu hakawii
4:Tujifunze kwa waliotendewa na MunguππΏ
5:Tupende Kumtafuta Mungu madamu anajibu
6:Tuwe na Uhusiano mzuri katika Zaka Maombi
7:Usinug,unike
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
2 petro : Mlango 3
9 Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wanavyokudhani kukawia, bali huvumilia kwenu, maana hapendi mtu ye yote apotee, bali wote wafikilie toba.
FAIDA ZA KUKAWIA
1:Unaimarika Kiimani
2:Unamtengemea Zaidi Mungu
3:Unajifunza wakati wa Mapito na Jinsi yakuvuka
4:Unakuwa na Ushuhuda wakuwaambia Wegine
5:Unakuwa Kiroho na Kuongoza Ufahamu
6:Unakuwa mshauri na Mwalimu mzuri
HASARA UTAKAZOZIPATA UKIWA UNAKAWIA
1;Unavunjika Imani kwa Mungu na Maombi
2:Unabaki unawaagalia wanadamu nakumuacha Mungu
3:Utaona Mungu anapendelea na hakupendi
4:Utamezwa na Mapito usiposimama
5:Utakosa Ushuhuda wa Kuwashuhudia
6:Unashindwa Kuendelea Kuamini Mungu Anatenda
TUNATAKIWA TUOMBE WOTE SIMAMA ULIPO
Eeh Baba Mimi mwanao nasimama Mbele ya Kiti Chako ninabadilisha nakug,oa roho zote zinazonifanya nikawie Kupata Majibu Yangu Kwa Jina la Yesu.Naharibu mtandao mzima na majeshi yaliyonishika katika ulimwengu wa roho yaniachie Kwa Jina la Yesu π Amen π
WITO
Tutumie Namba Hizi kuongea na Bishop Richard YUPO Morogoro Veta Dakawa
Simu Yake+255759861768
Maoni
Chapisha Maoni