MISINGI 10 YA IMANI YETU Holy Spirit Tanzania

MISINGI (10) YA IMANI YETU KANISA LA HOLY SPIRIT

🌐Sauti Yetu Ya Pamoja Kama Kanisa la Roho Mtakatifu Tunaamini Huduma ya Roho Mtakatifu Ni Ukombozi wa fikira na mawazo ndani ya mtu Hali ambayo hufanywa na Roho Mtakatifu
*Kufundishwa Neno la Mungu
*Kuombewa Tatizo kwa kufata chazo Cha Tatizo ambalo Roho Mtakatifu hulifunua nakulionesha;
Mstari wetu unaosimamisha Imani Yetu
2Wakoritho:3:6

🌐🌏Tunaamini Mungu Ni mmoja na wakweli Tena Ni Roho Ambaye Ameziumba Roho Zote Zinazoonekana na Visivyoonekana
Yohana:4:24 Mwanzo:1 Isaya 43:10

🌏🥝🌐Tunaamini Dhambi ndio Sababu ya Mungu Kukosana na Mwanadamu Lakini Endapo Mwanadamu Atajitambua Kwa Hili  nakutubu kwa kunyenyekea akaacha Hiyo Dhambi Atamfanya Mungu akae nae nakusikiliza maombi yake
2Nyakati:7:14-16

🥦🌏🥦✔️Tunaamini Hakuna Ngumu au Linaloweza Kuweza Kushindikana Na Mungu Msemaji wa Mwisho Ni Mungu
Yeremia:32:27 Matendo;8;37

🥦🥦🥦🌐Tunaamini Sisi Ni Wahudumu wa Angano jipya katika Roho Mtakatifu na SI Katika Sheria
2Wakoritho;3✔️✔️Soma Yote

🌐🌐🌐Tunaamini Ubatizo wa Roho Mtakatifu Ambao unalenga mtu afundishwe Neno la Mungu ili Afunguliwe fikira na mawazo yake Asirudi kwenye Dhambi au Asipotee
Mathayo:3:11-12 Mathayo:28:19-20 Yohana:14:23

🌐🌐Tunaamini Mtu akiwa  Ameokoka katika Roho Mtakatifu asiokoke katika Sheria Au Kwa Kufata Kitu Yupo huru mtu huyo
2wakoritho:3:17

🌐🌐Tunaamini  miujiza Katika Neno la Mungu Kwa Kuwafundisha Watu wataponywa nakutoka kwenye mateso Kwa Kuwa Neno la Mungu Ni nyundo Ni upanga ulao. Tena Neno la Mungu Ndio uzima wetu Afya Yetu
Waebrania:4:12

🌐🌐Tunaamini  uchungaji Ni wito na uchungaji sio Kujiita Ni Kuitwa nakuitika Kuifanya Kazi Ya Mungu kwa moyo wako wote
Kutoka;3:2-3

🌐🌐Tunaamini Kuna makao mapya Baada Ya Kazi ya hapa duniani Kuna mbingu na Jehanamu
MBingu IPO kwa Ajili ya walioamua kumfata Yesu nakuachana na maovu
Jehanamu IPO kwa Ajili ya wale waliomfata Shetani kwa kutenda Matendo mabaya
Yohana:14:2

Kanisa la Huduma Ya Roho Mtakatifu Ni Ukombozi kwa Watu wote
MOTO WA YESU:
2WAKORITHO:3:6

WhatsApp Bishop Richard Julius Kushoka
+255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.