SOMO:UADAJI WA MAHUBIRI
SOMO: UADAAJI WA MAHUBIRI
Uadaaji Ni Nini? Ni uwekaji Na mpagilio wa masomo utakayo hubiri.
MUBIRI Ni muwasilishaji wa Jumbe za Kibiblia kwa usahihi kwa ajili ya kuonya Kundi na Kuongoza Kundi.
SIFA ZA MUHUBIRI
1Timotheo;3;1-7
1:Asiyelaumika mstari;2
Awe mtu mwenye Ushuhuda mzuri kwa Watu na Kwake mwenyewe asiwe mtu mwenye kujiona mtenda Dhambi au mchafu akijikangua ajione msafi Hana doa
2:Mwenye Kiasi na Busara
Utumie Busara na Kiasi katika chakula Kama utakaribishwa kula usile Sana au Usiwe na Tabia au SIFA chafu kwa Kundi unalolihubiria
3:MKARIBISHAJI
Kuwa mtu wa kula pamoja na Waumini wako na waliokuzunguka pia Ukitembelewa wageni wakaribishe wape pakukaa au waelekeze Usitembelewe na wageni unawaagalia tu.
4:AJUE KUFUNDISHA.
Lazima mhubiri awe mwalimu mtu anaejua kufundisha
5:ANAEJUA KUJISIMAMIA MWENYEWE NA KUJITOA MWENYEWE
Mhubiri anapaswa ajue kujicontro mwenyewe katika maisha Yake Ya Damu na Nyama pia kiroho awe vizuri amesimama.
6:ASIYEPENDA FEDHA AU MALI ZA WAUMINI
Muhubiri hutakiwi uende Kuhubiri halafu unawaambia nipeni hela au nipeni Nguo Fulani au ninunulie hiki usiwe na SIFA hizo. Acha wao wakufikirie Baada ya Kuhubiri Kama watakupa ya Usafiri sawa wasipokupa sawa .
7:USIPENDE UGOMVI KUBISHANA HASIRA.
Muhubiri Hupaswi upende Ugomvi au Uwe na Hasira utakiwi.
8;USIWE UMEOKOKA KARIBUNI.
Muhubiri Anatakiwa awe anamiaka mitatu toka aokoke asiwe Mchanga wa kiroho.
9;ASIYE ZOLEA UZINZI,ULEVI
Epuka Mambo haya Kama Ni Muhubiri hapaswi uwe navyo.
UJUMBE WA MHUBiRI
1:KANUNI TATU KABLA HUJAADAA UJUMBE
a:Uwe mtu wa ibada binafsi
b;Soma Biblia
c:ombea ujumbe wako na wasome watu wako.
2:KANUNI ZA KIBIBLIA ZA KUZINGATIA KATIKA UJUMBE WAKO
a;epuka Mada tatanishi
Ambayo hujaielewe vizuri
1Wakoritho:15;29 1petro;3;19
Ambayo hazipo kwa Sasa
1Petro:5:14
b:Changua mada nzuri zitakazoeleweka kwa Watu
c:Changanya mistari angano jipya na Kale
3:KANUNI YA KUPANGILIA UJUMBE WAKO
a:Toa mlo watu washibe kiroho
b;Panga Masomo ya Sikukuu
c:Panga mfululizo Masomo yako
d;Msikilize Roho Mtakatifu ujumbe anaokupa
SHAUKU NA MATAMANIO YA MUHUBIRI
1: KANUNI ZA KUHUBIRI
a;onesha ujasiri
b:Kuwa nadhifu
c:Kaa Kwa nidhamu
d:Fuata taratibu za Madhabahu
e:Tumia Sauti Yako Kwa Busara
2:KANUNI ZA KUWASILISHA UJUMBE
a:Tamka maneno Yako Kwa Usahihi.
b:Tumia mwili wako Kuhubiri
c:Ongea Kwa Kutumia mikono yako
d:Kumbuka watu wanakuagalia Usoni
e:Waagalie watu unaowahubiria
HITIMISHO
Tutakuwa na Zoezi la mmojammoja Kuhubiri Kusimama nakuhubiri
WITO
Mpigie Bishop Richard Simu kwa Msaada Zaidi wewe mchungaji Muhubiri Namba hizi+255759861768
@2021 by Bishop Richard Morogoro veta Dakawa
WhatsApp+255759861768
Maoni
Chapisha Maoni