SOMO;; UTAFIKA
SOMO:;UTAFIKA
TUFUNUE Biblia Zetu Tusome
1Samweli:10;5 Yeremia:51:33
Mika;1;15, ✔️ Ayubu:5:26👉🏿✔️38:11
Kuna Mtu mmoja akawa analia Kila akinipigia Simu Anasema Pastor Richard Mimi Ni ninashida ngani mbona Kila mwanaume ananiumiza tu nimekuja Hapo Nzega Ulipokuja nikaamini nikikuona tu sitakaa muda mrefu bila Kuolewa lakini umeniombea ndio Yule mchumba niliyekuambia Yeye alikuwa akinisaidia Ameniacha Sasa kila nikiingia mtandaoni naona Wezangu wanashuhudia Mimi lini nitaolewa. Nami dada nilimjibu Fika Morogoro Veta Dakawa Madhabahu hii ya Moto wa Yesu akasema Mimi nipo Kazini Ni Mwalimu siwezi Kufika Kwani Mungu anaumbali SI Uniombee hata huku nitapokea Nikasema Bint nimesema Fika Kanisani Morogoro Veta Dakawa Sasa Kama Nipo mbali siwezi Kuombewa Mpaka nifike nikamjibu nyumbani Ni nyumbani Madhabahuni ukifika unajiconect na Nguvu ya Mungu nakumfanya Mungu aseme na Mtumishi juu ya Tatizo lako kujua chazo na nguvu ya Madhabahu kanisani nitofauti na nyumbani Dada huyu alikuwa na Watoto watatu anaumri miaka 38 hajaolewa alipofika Tu Veta alichukua majibu Yake Na Leo anaushuhuda Amefunga ndoa Kabisa.
UTAFIKA NA MANISHA Nini? Mungu muujiza wako ameuadaa mpaka UINUKE hapo ulipo ufike eneo lilobeba majibu yako Na Ukifika Tu Utapokea na Utamuona Mungu.
NATAKA NISEME Madhabahu aliyokusudia Mungu ikufungue Lazima Utainuka na Utaifikia Ukifika Pale MATATIZO Yataisha. Mungu hushughulika na Watu wanaomtafuta Mungu Sio Wanaokaa Bila Kumtafuta Hawezi Kujishughulisha na mtu moyo wako wenyewe haumtaki Mungu. Chukua hatua ufike Moyo wako unapokusukuma majibu yako yapo.
LENGO LA KUFIKA👉🏿✔️ILI UPOKEE USHUHUDA WAKO
Unapofika Sehemu Ulipotamani ufike unamshuhudia Mungu nakumtukuza Mungu Na Mungu Anashughulika.
HASARA YA KUTOKUFIKA.
1:Kuchelewa Kupokea Ushuhuda
2:Majibu yako Mungu Atayachelewesha
3:Kuendelea Kuteseka
4:Kukosa Amani moyoni
FAIDA YA KUFIKA
1:Mungu anakujibu nakukuzingira
2:Nguvu ya Mungu itakuwa ndani yako
3: Kuendelea Kumuona Bwana
4:Kuwa na Amani sababu UTAFIKA ulipopataka.
HITIMISHO
UTAFIKA Mungu Amekusudia ufike sio uishie njiani
Wito
Fika Kanisani Morogoro Veta Dakawa
Mungu akutangulie unaefika
Maoni
Chapisha Maoni