SOMO; MAWAZO MABAYA YAONDOE
SOMO:MAWAZO MABAYA YAONDOE LEO ILI UPONE TATIZO LAKO.
Kuna wakati unajiuliza Kwanini haya yanatokea Kwanini MATATIZO ndio hayaishi nimeomba Nimeombewa Kwa Pastor Richard Na Kwingine Bado TU Sifunguliwi Nataka Nikuambie MAWAZO Yako Yanasababisha uendelee Kuteseka mfano wewe Umeambiwa Utazaa Moyoni unaanza kuwaza ananitia moyo TU Pastor Richard kakuambia mwaka huu utaolewa wewe Unaanza kuwaza mchumba wako anayekusumbua ajirudi akuoe mme Yupo ukiondoa Mawazo Afya IPO ukiondoa Mawazo.
Mawazo Ni silaha Kubwa Adui Anayoitumia ili Kukuagamiza Kiroho mapepo Majini hutumwa kwenye Mawazo yakupe kuwaza mabaya Kukata Tamaa kuombaomba Kukiri Umeshindwa Kikri Mimi dhaifu Nataka Nikukaribishe Somo Hili Hakika hutabaki Kama ulivyo Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
Tufunue Biblia Zetu 👉🏿👉🏿👉🏿Mathayo:9:4👉🏿Warumi:14:1
Zaburi:94:11-19👉🏿Mithali;16:3👉🏿Isaya:55:7-10👉🏿Ezekieli;38:10👉🏿Luka:2:35
MAANA YA MAWAZO 🌳😃Ni Mtazamo wa mtu au fikira za mtu.
Nini Maana Ya Mawazo👉🏿Ni Kuweka kitu Akilini na Kuanza Kukifikiria Katika Mtazamo wako mwenyewe unao uona sahihi.
Lengo la SoMo: Kukuponya na Mawazo mabaya.
Mithali;16;3 Naye atadhibitisha Mawazo yako
HASARA ZA KUJITWISHA MAWAZO MACHAFU.
1;Kuufanya ulimwengu wa roho ukumiliki na kukutesa
2:Kufanya Kile unachokiwaza kitimie na ukiishi.
3:Kufanya maisha Yako yawe ya mateso na masumbuko
4:Kufanya Uzitengemee Akili zako Mungu umuache
5:Kufanya Dhambi ya Kumuona Mungu Ametaka uishi hivyo
6;Maisha Yako kutokubadilika kubaki hivyohivyo
FAIDA UKIACHA KUWA UNAWAZA VIBAYA
1; Magonjwa Utaponywa Yote
2:Utaolewa na Utazaa kazi utapata hutaamini.
3:Utasimama Kuwa MWAMINIFU wa Zaka na Bwana atakubariki
4;Maisha Yako yatakuwa ya Viwango
5:Utajenga misingi imara kwa Uzao wako
6:Utamuona Bwana Ukimuomba
HITIMISHO
Je Upo Tayari Kuacha Kuwaza hutazaa hutaolewa Kazi hutapata ili uziruhusu nguvu za Bwana zikuponye Kama ndio chukua Muda huu uombe nami
Baba Nashukuru Kuanzia Leo nakataa nafuta Mawazo machafu. Ndani Yangu kwa jina. La Yesu 🙏 Amen
Wito
Mpigie Simu muda saa 12:00 Namba+255759861768
Maoni
Chapisha Maoni