SOMO: Kusudi

                              👉🏿SOMO: KUSUDI✍🏼
Isaya:14:27
Ezekiel:38:10
1Petro:3;7
1Wakoritho:9:23
2Wakoritho:9:7
Wafilipi:2:13
Waebrania:4;12 ,10:9
Mwanzo:6;5

KUSUDI Ni somo au nakala inayolenga Kukupa picha nakukufungua wewe ambaye Hutaki Kusundi la Mungu likae ndani mwako umelitupa nje kusudi la Mungu nakushikilia Kusudi mbaya Somo hili litaponya Nafsi yako litaponya maisha Yako. Ukijua Kusudi la Mungu ndani mwako hutahagaika.Naitwa Bishop Richard Nakukaribisha

KUSUDI NI NINI?
Kusudi ni Lengo kuu. Lengo kuu Ni Nini? Ni njia inayobebelea maono yako ya Baadae matarajio yako.

DHIMA YETU MOTO WA YESU 👉🏿 Kuadaa watumishi wenye nguvu yakutumika katika Roho.

LENGO;-Watu Tuwafundishe ili wajikomboe wenyewe Kutoka kwenye Mateso na Vifungo

KUNA MAKUDI MATATU YA KUSUDI.
1:Kusudi linaloongea Kwa Kumsudia Mtu.
2; Kusudi linaloongea Kwa Kumsudia Mungu.
3: Kusudi linaloongea Kwa Kumsudia Shetani

1:Kusudi linaloongea Kwa Kumsudia Mtu.
Ni mipago na mikakati inayoongelea kumsaidia mtu au kufanya kitu juu ya Yule mtu.

2: Kusudi linaloongea Kwa Kumsudia Mungu
Ni mipango na mikakati inayoongelea Kuifanya Kazi ya Mungu nakumtumikia Mungu kwa Mali na mwili wako Kujitoa kwa Bwana.

3: Kusudi linaloongea Kwa Kumsudia Shetani
Ni mipango na mikakati inayoongelea Kuifanya Kazi ya Shetani kwa Kupaga nakuwaza Jinsi ngani utakavyofanikisha Wikedi hi kwenda kula Starehe Kunywa Pombe Kusaka wanaume au warembo nk

Mtu anaweza Kutembea na Kukua ndani ya Kusundi la Shetani na asijue Hali Ambayo inaweza Kusababisha maisha ya mtu kuwa tofauti na alivyokusudia Mungu ndani Yake.

Mtu pia huweza Kutembea ndani ya Kusundi la Mungu endapo mtu Yule atajua Kusudi lake

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.