SOMO; KUPISHANA KWA MIAKA WATU WANAPOOANA

DARASA LA WANANDOA

SOMO: MIAKA MNAYOPASWA MPISHANE MKITAKA KUINGIA NDOA.

Mwanzo;17;17 1Timotheo;5;9

Habarini Wanandoa Poleni na Machukumu Ya Kupambana Ada Wegine mpaka Sasa Watoto Bado hawajaenda nawaombea Sana. Basi niwakaribishe Wote Wawili Mwanamke na Mwanaume Leo Nataka Tuongelee Mada hiiπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏHIVI MWANAMKE UKIOLEWA UNATAKIWA MWANAMME AKUZIDI MIAKA unajua KWANINI hamtakiwi MPISHANE Sana umri mkawa mnaleta maswali wale vipi ??? Basi Karibu SI Unataka UJIFUNZE ili usije ukatolewa na Kababu Ukatuambiasha Wanandoa wezako au ukatolewa na Katoto Wewe mdada mkubwa Kabisa

Bint mmoja nikawa nimefika nyumbani kwake huko kwa Ajili ya kusuhulisha ndoa Yake Bint anamiaka 25 Mwanaume anamiaka 37 Ugomvi Kila Siku Nilifanikiwa kuirejesha ndoa hii

Naitwa Mwalimu wa WanandoaπŸ‘‰πŸΏ Nipo Morogoro Veta Dakawa
πŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏ✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼
MASWALI
1:KUPISHANA UMRI NDIO NINI...? Kwa Ajili muweze kuelewana na kulea familia iliyobora
2::KWANI KWA MUNGU ANAAGALIA UMRI..? ANAAGALIA umri ndio muulize mchumba wako usije ukakosea ukaolewa na umri mkubwa Zaidi
3:KWANINI SWALA LA UMRI LIWE KIPAUMBELE..? Ndio Linamfanya Mungu Atumie Ufahamu wenu mjitambue nakuwaongoza mpaka uzee.

UKIWA WEWE BINT UNAJUA  KUChukua mtu yoyote ndio maana ndoa Yako inashindwa kuwa na misingi Bora.

1:MWANAMKE ANATAKIWA APISHANE NA MME WAKE
Miaka 5 mwisho 10 Hupaswi upishane na mmeo miaka 15 au 25 nakuendelea Utasababisha ndoa iwe doa hata kutangulizana barabarani unajiona wewe Bint Mdogo mmeo Mzee na Jamii inakuwa inaona Kama umefata Pesa au Mali kwa huyo mwanaume.

Biblia Imeandikwa Mpishane miaka 10 isizidi Soma;Mwanzo:17;17

Lakini Wanandoa Siku hizi wanapisha umri miaka 20 mwanaume 45 anaoa Bint 25

2: MWANAUME UOE MWANAMKE ALIYEKUZIDI MIAKA  5 usioe mwanamke anayekuzidi miaka 10 Kama wewe Ni mwanaume Hutaki kuishi na mabint wadongo Waitaji uowe aliyekuzidi umri miaka 5
Kama utataka kuoa Zaidi haitaleta maana ya ndoa na katika Jamii utaacha maswali mengi na Hata wewe utajenga ndoa Yenye shida

3:UMRI WA MWANAMME KUOA KUANZIA UMRI 30-60
Mwanaume unatakiwa Uzingatie muda wa kuoa kadiri unavyochelewa unafanya umri uende na Type ya mwanamke kumuoa ndivyo inavyozidi kwenda mbele japo vibabu vya siku hizi vinaoa Watoto wadongo kitu ambacho Ni Kosa Kwa Mungu

4:UMRI WAKO MWANAMKE KUOLEWA KUANZIA 26-56

Ukivuka umri huu Hupaswi uolewe maana utavuka muda wa kumlea Mtoto Kuzaa na Kuzeeka utazeeka haraka nakumfanya mmeo akose Tendo la Ndoa Bint uliyefikia umri wa kuolewa olewa.

HITIMISHO

Unashauriwa Mnapoanza Uchumba na mahusiano Ni Vyema mkajuana umri na Malengo Yenu nakuanza mikakati ya kuingia kwenye ndoa

Usiingie Kwenye ndoa Bila Kuzingatia umri msizidiane Zaidi ya Miaka 10 Na Kijana wakiume umri kama umefika unatakiwa uoe

WITO
Chukua Muda kushare kwenye group zako uwanusuru vijana

Naitwa Pastor Richard Mwalimu wa Wanandoa

Mstari wa BibliaDARASA LA WANANDOA.

SOMO: UKOMO WA MWANAMKE KUZAA NA MWANAUME KUZlLISHA.

Karibu mwanandoa Leo nataka Tuelimishane Kibiblia mwisho wa kuzaa Kipindi hicho au umri huo ukifika huwezi kuzaa Tena.
Mimi napenda Nikukaribishe mwanandoa Wewe Ambaye hujabahatika Kupata Mtoto au Uliyekuwa umekata Tamaa unasema umri umeenda.
Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa
Simu hizi Piga Jioni Saa 12:00  kwa Simu+255759861768

1; MWANAMKE UMRI WA KUKOMA KUZAA NI MIAKA 80

Biblia inaeleza mwanamke Kukoma umwanamke wake na Kuweka Asilimia Kuwa Yeye Hawezi Kuzaa Tena Mungu Anasema miaka 80 Na mwanamke anaweza akawa Bado anaona hedhi na Siku zake hii huwa
Inasimama hivyo Kwa Mungu wetu.

USHAURI
Unashauriwa uzae ukiwa na umri wa miaka 25 mpaka 60 ikivuka Ni heri ukaacha kwa Ajili ya Kiafya na umri wa kukaa na Mtoto

2;MWANAMME UMRI WA KUKOMA KUZALISHA 90

Biblia inasema mwanamke wa miaka 90 anaweza Kuzalisha na hi IPO Kibiblia Lakini pia inatia moyo kwa Wanandoa Wengi waliochelewa Kuzaa na Waliokata Tamaa hawawezi kuzaa Kwa Mungu ameweka ukomo wa Kuzalisha miaka 90.

Mme wako Kama anamiaka 80 kumbe mnaweza kuzaa nae

USHAURI
Unashauriwa uzae ukiwa na umri miaka 30 mpaka 70 isivuke na usizae na mtu wa umri unaozidi hapo au kuzaa na mtu mwenye umri mdongo Zaidi.

Tusome Biblia Imeandikwa πŸ‘‰πŸΏπŸ‘‰πŸΏMwanzo : Mlango 17:17
17 Ndipo Ibrahimu akaanguka kifudifudi akacheka, akasema moyoni, Je! Mtu wa umri wa miaka mia, kwake atazaliwa mtoto? Naye Sara mwenye umri wa miaka tisini atazaa

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.