SOMO: TUNAONA NGUVU YA UDHIHIRISHO

🥦SOMO: 🥦TUNAONA NGUVU YA UDHIHIRISHO KUBWA MWAKA HUU.2021🥦✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️

Jumapili:3/1/2021 Somo la Kwanza Kwa Mwaka huu
Mwalimu Pastor Richard
Kila Mwaka Katika Madhabahu hii ya Moto wa Yesu huwa Bwana Anatuuliza Mwaka huu Mnaona Nini Nasisi Hutamka Neno alilotupa Tutembee nalo Basi Mwaka Jana Tuliona Ushuhuda mwaka huu Tunaona NGUVU Kubwa Mungu Wetu Akitudhihirishia Watoto Wote wa Madhabahu hii
Nakukaribisha Tujifunze Tunaona Na Kwanini Tunaona hivyo Udhihirisho wa Bwana.
⛪⛪⛪⛪⛪🏬🏬🏬🏬🏬⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️⛩️
Tufunue Biblia Zetu  1Coritho:13;12 Zakaria;5;2 Yeremia:24;3 Isaya:42;20
Muhubiri:5;8 Amosi:7:8

UKIULIZWA UNAONA NINI? Hii huwa Lugha Ya Kimbingu Unachotakiwa Uone Kile Ambacho Mungu Amekusundia Yaani Kiroho Uone.
Kuona Kimwili; Nikutazama mbele Yako Nakuona Matumaini au mwelekeo wa Njia Unayotaka upite au ushike. ILI Upokee Kitu Cha Kimbingu hutangulia Neno Kuona Kisha Useme Napokea.

Mfano mwaka huu wa Udhihirisho wa Bwana mtu anaeona hivyo atasema Napokea Mwaka wa Udhihirisho wa Bwana Mwaka huu Bwana akadhihirishe kwenye Biashara Yangu Akadhihirishe kwenye Ajira Yangu ndoa Yangu.

KWANINI TUNASEMA MWAKA WA UDHIHIRISHO?
Ili watu wamataifa na Wagumu mioyo wanaitaji wamuone Bwana Wetu na Tunawaambia Mwaka Tutamdhirisha Bwana Wetu ili wajue. Chukia maisha ya kukaa na Mungu usiyemdhihirisha na Watu wakamuona Akitenda Kwako. Sasa Namhubiri Yule Mungu Bwana Wa Vita Mwenye Uwezo usiochunguzika Kila atakae Kanyanga Veta Dakawa atamuona huyu Bwana.

MAMBO YATAKAYOKUFANYA UMDHIHIRISHE MUNGU WAKO.

1:Maombi na Mahusiano manzuri na mlezi wako kiroho Usimchukize nahudumia Madhabahu Ya Bwana.

2:Imani Ya Kuamini Neno Hili la Mwaka 2021 wa Udhihirisho wa Bwana

3:Kutokujitamkia Mapooza au Mabaya kushindwa

UKIFANYA HAYA UTAKUWA UMEJICONECT Moja kwa Moja Na Upako huu

MAMBO YATAKAYOMHAMASISHA MUNGU UMUITE UWE NA VITU HIVI

1: Madhabahu:- Ni Mahusiano Kati ya wewe na Mungu.
Uhusiano huo hujengwa hivi
UKIBARIKIWA Chochote na Ukapata Chochote peleka Madhabahuni au mtumie Baba Yako Mwambie mchango wangu kwa ajili ya hiki au Hela Ya Kula au Gari hii yapa Hakikisha unamjali Baba Yako wa Kiroho na huyo ndio Amebeba Majibu Yako Madhabahu Yako Yaani
Mtumishi yupo kukupigania wewe Kiroho na Kuyafata majibu Yako

Usipoifanyia Kitu Madhabahu nayenyewe haiwezi Kuongea Juu Yako itanyamaza Sasa ili ufanyike Kuwa Unamuona Mungu hakikisha Mara umetoa hiki Leo umetoa Kile na Unapotoa Agalia Madhabahu Yenye nguvu ndio maana utaona wazungu hupenda kuwekeza makanisani wanajenga mashule wanaendelea kubarikiwa.

2: IMANI;- Imani Ni uhakika ya unachokiongea lazima uwe na uhakika mwaka huu kwangu Mimi wa Udhirisho wa Bwana halafu Amua kushiriki na Kujenga Madhabahu kila ukipata Chochote Peleka Madhabahuni na Kwa Mtumishi utaona.

3; Maombi;-Anzisha Utaratibu wa Kuomba na KUTAFUTA uso wa Mungu ombea Baba Yako wa Kiroho Muombee kila Kitu

USIPOFANYA HAYA MWAKA UTAISHA TENA UNAONA WEZAKO WANAMDHIHIRISHA MUNGU WAO KWA WATU WA MATAIFA WEWE Hats mabadiliko Hakuna.

Mpende Mungu na ipende Madhabahu sababu ndio daraja analolitumia Mungu wewe Upokee

USHUHUDA WA JANA
Shalom Pastor Richard
Pastor ninatuma sadaka yangu nikidogo Nina maisha magumu ya mateso kwenye ndoa kwa mda wa miaka 4 nasingiziwa na mume wangu mm Ni mhuni hataki hata kufanya tendo la ndoa na mm eti Hana hisia Nina degree Sina kz nikipata kz ananifukuzisha eti nitafanya uhuni wakati hanihudumii pastor naumia kwa manyanyaso ananayonifanyia hapa nauza nyanya watoto wale na anakz nzur tu engineer naninaota nipo darasan kila sk pastor nisaidie umesaidia wengi Nina uchungu Sana

Alituma Sandaka Yake Kisha Akinitumia Sms hii Anaitwa Laita Venance
Baada Ya Kupiga nikamuombea Akafunguliwa mapepo yalikuwa Yamemwingia mme wake hayataki afanye kazi Sababu atawasaindia Wazazi wake lakini Yeye Kupitia Shuhuda akanipigia Cha Kwanza Akajiugamanisha na Madhabahu ya Moto wa Yesu Kupitia Sadaka nayo ikamujibu.

Huu Ni Ushuhuda wa Jana Tu.

FAIDA HIZI UTAZIPATA UKIWA UNAMDHIHIRISHA MUNGU WAKO

1:UTAFUNGA vinywa vya Watesi wako
2;Watasema Yule Mungu wake SI Mchezo Anatenda
3:Utakiheshimisha ulichokibeba ndani Yako
4:Utamiliki na KUTAWALA kila Kitu kiroho na Kimwili

HASARA ZAKE nikinyume chake

KWA UNAETAKA UJIUGAMANISHE NA MADHABAHU YA MOTO WA YESU

Tuma CRDB Account 0152361572400 RICHARD JULIUS KUSHOKA
M-PESA+255759861768
West Union RICHARD JULIUS KUSHOKA Nchi Tanzania Address Morogoro

Kwa MSAADA wa Kiroho piga +255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.