MAMBO YAKUFANYA UKISALITIWA

SOMO: MAMBO YA KUFANYA UKIACHWA NA MCHUMBA WAKO.

Marko : Mlango 14

42 Ondokeni, twendeni zetu; tazama, yule anayenisaliti amekaribia.Kusalitiwa na Kukamatwa kwa Yesu
✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍️✍️✍️✍️
Karibu Katika Darasa la Wanandoa Na Mahusiano Masomo haya nakipindi hiki kimenusuru NDOA nyigi Uchumba uliokuwa hauna Amani umeponywa kupitia Kipindi hiki Karibuni kwa Wageni Naitwa Pastor Richard nipo Morogoro Veta Dakawa
Piga Jioni Saa 12:00 Kwa Namba+255759861768 nieleze

✍🏼✍🏼KUSALITIWA NI NINI?? Ni Mtu uliyemuamini na Kumuweka moyoni ambaye anafanya vitu tofauti na vilivyokufanya umwamini.

1*1=1 inakuwa 1+1=2 Anajumjulisha nakumpata mtu mwigine anayemfanya Tena wewe aondoe uthamani wako nakumpenda huyo.

MTU ANAPOKUSALITI AMEAMUA MWENYEWE WALA SIYO PEPO
BASI WEWE UNATAKIWA UFANYE HAYA ILI USIUMIE AU KUMUWAZA.

1:FUTA SMS ZAKE NA NAMBA YAKE BLOCK.
Kufanya hatua hii itakufanya Asiendelee Kukupa maumivu najiraidi Namba unaisahau nakuifuta kichwani mwako Futa yote na jina lake Futa Akilini mwako Kama sms zake unavyozifuta.

2:POTEZEA KELELE ZA WATU NA KUDHIBITI TAARIFA KUENEA
Watu watakusema nakuzidi kukuletea maneno Kipindi hicho  ukiachana na mchumba wako wewe POTEZEA Taarifa zao Wala usiaze kujibishana nao nakuwapa Siri za Mchumba Wako au Kilichowagombanisha.

3:Tulia Usiingie Tena Kwenye Mahusiano Mpaka Kisaikolonjia ukae Sawa.
Utakapotaka Kurudi kuingia kwenye mahusiano uagalie ulikosea wapi Mpaka mahusiano Yako ya KWANZA  Yakavunjika ukipata jibu Sahihisha nakujenga Uchumba ndani ya Msingi wa Mungu.

4:USONESHE KUMCHUKIA UKIKUTANA NAE MSALIMIE NA USIFANYE KAMA YEYE ALIYOYAFANYA.

Wapo wegine ndio huwa nao wanaanza kulipizia kisasi anapita na mchumba wake Mpya ofsini au anapoishi imladi amuoneshe uliniona Sifai nimeshapata anaejuakupenda na Kunituza huwa hatulipi ubaya kwa waliotutendea ubaya.

5;JIWEKE BUSSY
Unatakiwa uwe bize na ufanye ibada na Kwenda Kanisani Sana ili Mungu Akupe mme mwema na MKE mwema Sio uliowachangua wewe kwa akili zako na SIFA zako binafsi Mungu akikupa chake hutaumia Wala kulia.

Sijawahi kuona mtu ambaye alipewa MKE au mme na Mungu akateseka

Subiri Kutoka Kwa Bwana Upate sahihii

6: Kumbuka Mabaya Yake



Mimi ninawatakia Mahusiano mema Yenye malengo ya ndoa muwalete wachumba wenu ofsini Kwa Pastor Richard

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.