SOMO:MADHARA YA KUZINI KWA MKRISTO

SOMO: MADHARA YATAKAYOJITOKEZA KWA MKRISTO UNAPOZINI TIBA YA KIROHO KWA UNAETESWA NA UZINIFU.

Leo Tarehe 23/12/2020 nikiwa nimetulia ofsini nasikia Sauti ikinielekeza Fundisha MADHARA ya watu wangu walioitwa kwa jina la watoto wa Mungu Jinsi wanavyojitesa na Dhambi ya Uzinifu Wafunulie wapone maana moyo wangu unahuzunika walivyokosana nami Kupitia Uzinifu Somo hili Linalenga Bint na Kijana wa Kiume Karibu ujue Yanayokutesa chazo chake Ulizini na Dhambi Hiyo hajawahi kuongozwa Jinsi kuitubu NAKUKARIBISHA MTUMISHI WA BWANA BISHOP RICHARD
Simu ya msaada wa Kiroho nipigie Jioni Saa 12:00 Namba +255759861768 Nipo Morogoro Veta Dakawa

TUFUNUE Biblia Zetu 👉🏿✍🏼Warumi:13:9 Mathayo:5:27 Yet:13:27

MAANA YA KUZINI;- Nikufanya Tendo la Ndoa Bint au Kijana Ambaye hajulikani kwa wazazi wako Wala hajakutolea mahali au Kufanya Tendo la Ndoa na Bint Ambaye sio mkeo.

MKANZIO;-KWA MABINT WA YESU
Bint Yeyote anayefanya Tendo la Ndoa na Kijana Asiyejulikana Kwa Wazazi wake na Kumtolea mahali Unaendelea Kuhatarisha Maisha Yako na Heshima Yako Kama Bint.
Mahali inakuhalalisha wewe Bint mme wa mtu na Inakufunga Kabisa Na Ukitolewa mahali unaheshimisha Ubint wako.
MADHARA YANAYOMPATA BINT MWENYE TABIA YA KUANZA KUZINI BAADALA YA MAHALI:-

1:KUTOKUOLEWA AU KUCHUMBIWA NA MWANAUME MWENYE HOFU YA MUNGU mpaka utubu na uache ubadilike.

2: MAHUSIANO YAKO YATAVUNJIKA HAYAFIKIA NDOA Mtabebana na kuishi tu kwakuwa hamjui madhara.

3: MILANGO YA UCHUMI NA HATUA ZA MAENDELEO ZITAFUNGA KABISA mpaka uache au Utubu Dhambi hiyo.

4: WANAUME WATAKUCHEZEA TU NAKUKUZALISHA OVYO

5:UTALAANIWA WEWE NA UZAO WAKO WATOTO WASIPOOKOKA WALIOZALIWA KWENYE DHAMBI HII Hukumbwa na Uzinifu

6:KUKOSANA NA MUNGU WAKO maana anakuona wewe Mtoto mpotevu

NOTE HII;-
USIKUBALI KUHARIBU USICHANA WAKO AU KUZAA KABLA YA NDOA USIJIONE HUOLEWI ACHA UZINIFU NA UTAONA MUNGU ATAKUPA CHANGUO NZURI KIJANA AKIKUAMBIA MZINI MWAMBIE FATA TARATIBU

MADHARA KWA WANAUME MNAOZINI

KIJANA wa Kiume Linda Sana Ujana wako Usimuuzie Shetani Kwa Kuzini Na Bint Ambaye hujatambulika nakutoa mahali Kwao Kwani Utapatwa na MADHARA Tiba Yake Itaitaji mpaka Upate MTUMISHI Aliyesimama Vyema akusaidie.

1:KIJANA UTATESWA NA UZINIFU

2:UTAMCHOKA na KUTAFUTA MWIGINE UTAJITESA Roho ya Kuoa na kuacha Kuanzisha Uchumba nakuacha.mpa Utubu uache

3:Pesa zako Zitaishia Kwa Wanawake na Starehe

4:Hutaoa haraka Sababu utaongopa ukioa utabanwa

5;Hata Ukioa utaendelea na Uzinifu au Kutoka nje ya ndoa
Yako;

6:UTALAANIWA Mambo Yote Yatakuwa hayaendi utakosana na Mungu

NOTE HII;-
USIKUBALI KUHARIBU UJANA WAKO na Baadae ukaanza Kuteseka Na Kuhagaika huku na huku Mambo hayaendi Sababu Ni Dhambi ya Uzinifu.

TIBA YA TATIZO;-
Acha Uzinifu mwenyewe MAADAMU umeshajua madhara ingia Utubu au ufike kanisani Morogoro veta Dakawa uonane nami Pastor Richard kwa Kukufungua na MADHARA haya Kisha Ufundishwe Jinsi ya Kusimama na Bwana

KUZINI NI DHAMBI MBAYA Sana inaruhusu magonjwa magonjwa yaajabu kudharaulika Kutokuolewa au Kuoa Kuteseka Kwenye Shughuli uzifanyazo. Unaweza ukasema umelongwa Kumbe Ni Dhambi imekutenga na mme wako MKE wako.

HITIMISHO
Umeelewa Nini chukua hatua fika Kanisani Kwa Pastor Richard Upokee uponyaji ukaolewe na ukaoe Mwaka 2021 Wa Udhihirisho wa Bwana.

WITO
Tupigie Jioni saa 12 00 Namba HIZI+255759861768

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

NDOTO 20 ZA SHULENI TU MAZINGIRA Ya SHULE

SOMO: NGUVU YA KUJITAMBUA

SOMO:ADUI NA JINSI YA KUMKABILI ADUI YAKO.