SOMO: UFANYE NINI UNAPOONA MAMBO HAYAENDI
SOMO: UFANYE NINI UNAPOONA MAMBO HAYAJAKAA SAWA..??
🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦
Tufunue Mwanzo Kwenye uumbaji Mwanzo:1;2 na migine 2;Samweli:13:18-21 Yoshua:10:10-13 Ruthu:3;18 Matendo:19:36 Yakobo:3;8
Isaya:62;1 Estha:2:1
Kitu Cha Kwanza Kabisa Mungu alipomaliza dunia na mbigu Akaona Dunia IPO tupu haijakaa Sawa Alimua Atulie Kwanza Ili aweze Kuumba Vitu Vinavyoonekana Tunasoma👉🏿👉🏿Mwanzo : Mlango 1
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maj
Mfano Mwingine Kwa Yoshua ili ashinde Vita Yake nakuwavusha watu alipoona Vita vinaendelea kuwa vikali bila mafanikio yote alikaa chini Kwanza akatuliza Kichwa Kwanini Tunapingwa Akakubuka niseme na Baba Yangu alisimamishe Jua Kisha niingie vitani nanitashida Ni katika Mawazo ya Yoshua alifikiria nakusimamisha Jua Tusome;Yoshua:10:13
Hata Wewe Leo Naongea nawewe Mambo hayaendi Unazidi Kuharibu Vitu unazidi Kuumizwa na madeni Kwa Sababu Hautaki Kutulia Kwanza Uaze Upya unaenda bila Kutulia Ukiona Somo limeletwa ujue linamponya mtu mmoja TU
Naitwa Pastor Richard Nipo Morogoro veta dakawa
Muda wa Kuongea Namimi Jioni Saa:12;00 Namba +255759861768.
KWANINI TUNAJIFUNZA SOMO HILI:- Watu wengi Mambo hayaendi Maarifa yakukaa chini nakujiuliza Kwanini yanaenda hivi Hakuna ili waponywe Roho Mtakatifu ameliandaa SoMo hili.
LENGO:-Kuwaponya watu
Dhima Yetu;Kuadaa watumishi wenye Nguvu ya Kiroho.
MAMBO YANAYOCHANGIA MAMBO YA HARIBIKE
1:Hutulii Kila siku busy Akili yako hujawahi kuipumzisha inafeli kutatua Sasa ndio maana unashindwa.
2:Mambo unayaona hayaendi Vizuri Kurudi nyuma utulie ujiulize Kwanini Hili limekaa hivi na Hili limekaa hivi unaendelea nalo mpaka liharibike Kabisa.
3:Nguvu ya Akili Ni chache na Unajikuta unaijaza vitu vilivyonje ya uwezo wa Akili yako Mambo lazima yakuharibikie
4:Mungu aliamua Atulie kwenye Vilindi Vya Maji Aliona Dunia haijakaa Sawa lakini Kwa Kuwa alitulia ili aipendezeshe dunia alifanikiwa Kuliko agetoka Kuumba mbigu nchi Asitulie Asigeifanya kazi Kama alivyokusudia Soma:Mwanzo:1;2
5:Ukituliza Akili Yako Mawazo Yako na Usilazimishe Jambo linalogoma nakukuzidi uwezo wa Kulitatua Basi utavuka mengi.
UFANYE NINI SASA KUTATUA KIPINDI CHA HIVI UKIKIPITIA.
1:Pumzisha Akili Yako Kaa chini ujiulize Tulia nyumbani au Kanisani Pasipo nakelele.
2:Anza Kupangilia Kwenye Kichwa Chako Uaze na lipi uache lipi.
3:Weka utulivu wa nafsi mwili na Akili Kwa MASAA Siku mwezi mwaka halafu kianze Tena.
4:Kama Ni Huduma unaanza inakufa inarudi weka utulivu wa Maombi tu. Huduma yako itakuwa
5:Anza na liloshidikana ambalo uliliishilizia njiani ulifanye.
Kuwa Jasiri Usiwe mtu wakunug,unikanug,unika tu
FAIDA UTAKAZOZIPATA UKICHUKUA HATUA
1:Utashinda nakwenda Levo nyigine:
2:Utafanikisha Mipango uliyoipanga
3:Utawasaidia wegine kwa Kuvuka
4:Utapopumzisha Akili yako na ndivyo itakavyokuwa na nguvu ya kutatua changamoto unazopitia.
HASARA ZINAZOTOKEA USIPOTULIA
1:Mambo yako yatazidi kuharibika
2:Vitu vingi vitainuka vitakuzidi kuvidhibiti.
3:Utateswa na Shetani Kwa Kukosa Maarifa TU
4;UTAHARIBU mahusiano Yako na Mungu bure.
HITIMISHO
Tuandikie maoni Yako umejifunza Nini na Somo Hili limekusaidiaje nasi Tutaupitia Ujumbe wako
WITO
Tulia Acha kufanya Mambo bila kutuliza Akili yako
By Bishop Richard
10/12/2020
@2020
Maoni
Chapisha Maoni