SOMO: NGUVU YA UTULIVU
SOMO: NGUVU YA UTULIVU
2Wathesalonike:2;11-12
1Timotheo:3:4
1Wafalme 19:12
Mithali:17:27
Isaya:32:17-17
Munubiri;4;6
👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿 UTAGULIZI NGUVU YA UTULIVU Ni SoMo linalokupa Maarifa ya Kutoka Kwenye Changamoto zinazokukabili✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼
✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿👉🏿
Mtu mmoja alikuwa na familia Yaani Yeye na MKE na Mwanae Anna ikafika Kipindi Cha njaa kila kazi ngumu kula ikawa shinda Siku moja akawa katika Pitapita akaota hela Kwa Kuwa alikuwa Mwaminifu akaipeleka hela kituoni ili itangazwe aliyeangusha.Maana Yangu Nini Kuna Watu wanapitia magumu na Changamoto Kubwa Kisa Nini wamekosa TU Nguvu ya Utulivu Akili zao zinafeli Fikira Zao Zinafeli.
Sasa Nakuarika Katika Kipindi Cha Somo Hili Naamini utakaposoma TU Mpaka mwisho utatoka na Nguvu ya Kutatua Changamoto Yako.
Naitwa Pastor Richard
NIPO MOROGORO VETA DAKAWA
SIMU+255759861768
NGUVU YA UTULIVU Ni uwezo unaokuwa ndani ya mtu unaomuongoza ajiwekee mazingira ya Utulivu Kisha Aanze Kutafakari Maisha Yake alipotoka alipo na mikakati anayoipanga inaenda Vyema au hapana.
MAANA YA UTULIVU 👉🏿🥦PUMZIKO LA AKILI.
Mafanikio huhitaji muda wa kuweka utulivu mtu aliyebussy Hana utulivu Ni ngumu Sana Kufanya Jambo linaloonekana Kwa Jamii Familia Yake Kuwa la maana Ukimkuta mtu Amekaa katulia Au Kapumzike Akili yake inakuwa nguvu ya Kutatua Changamoto 100 Kwa Siku moja kwa Kuwa Ameweka utulivu Mtu Asiyeweka utulivu huzidiwa na Changamoto kwakuwa Nguvu ya Utulivu ndani Yake imeisha. Upo utulivu wa kawaida TU dakika kazaa TU anaanza shughuli nyigine.
UFANYE NI NINI ILI UWE NA UTULIVU
1:Weka ratiba ya Wiki kupumzika Mara moja au Mara mbili Tulia nyumbani au tafuta mazingira mazuri shida huko ukitafakari unapokwama.
2:Tua mipangilio iliyokosa MAJIBU sahihi kwenye Akili Yako weka mipangilio Yenye MAJIBU katika Akili Yako.
3:Epuka Kelele
4:Unapoweka PUMZIKO au Utulivu Nzima mlio wa Simu na radio TV.
5:Waambie Nyumbani ili muda wako wa Kupumuzika wanajua Kama unamke watoto awadhibiti Kama huwezi unaweza Kwenda mlimani.
6:Anzia Kuyatafakari yaliyoshindikana na ondoka na MAJIBU ukikosa MAJIBU akili Yako imefeli.
7:Usifanye Kazi itakayozidi uwezo wako wa Akili sababu utaiua haraka Akili Yako katika Kushughulikia kitu.
8:Pitia Mafundisho na Elimu mbalimbali inayoongelea juu ya Changamoto unayoipitia.
FAIDA ZAKE UKIFATA
1:Unaweza Kutatua Changamoto Za Wengi
2:Unaweza Kutatua migongoro mingi
3:Utakuwa na Uwezo na Nguvu ya Akili
4:Utakuwa Mzoefu wa Kuvuka sio Kushindwa
5;Ni Tabia ya Mungu "UTULIVU"
HASARA ZAKE UKIKOSA UTULIVU
1:Mambo Yako yataenda Katika shagharabagala
2:Utashindwa Kila Changamoto Kuitatua
3:Utatumikishwa na Shetani sababu Hutulii Unakurupuks Kutatua
4:Maisha Yako Yataenda Bila Malengo maalumu
5;Ni Tabia ya Shetani hii usipokuwa na UTULIVU.
HITIMISHO
Jiwekee Utulivu Unapoona Mambo YANAENDA Vimbaya
Wito
Tupigie Simu Jioni SAA 12 00 Kwa Ajili Ya Huduma kiroho namba ya Pastor Richard+255759861768
Maoni
Chapisha Maoni