SOMO;SI KILA TATIZO LITATOKA KWA MAOMBI
🥦S0MO : 🙋SIO TATIZO LITATOKA KWA MAOMBI.🥦
Tufunue Biblia Zetu;Mithali:12;1-4;Hosea;4;6;Warumi;10:2
Mithali:Mlango 8:10 Pokea mafundisho yangu, wala si fedha,Na maarifa kuliko dhahabu safi.
Isaya: Mlango 33:6 Nyakati zako zitakuwa nyakati za kukaa imara; za wokovu tele na hekima na maarifa; kumcha BWANA ni hazina yake ya akiba.✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼
KARIBUNIKATIKA MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU LEO HII JUMAPILI YA Tarehe 29/11/2020 Nataka Niseme na Mtu mmoja TU Ambae Amekuwa Akinifatilia Amekata Tamaa Kuligana Nakuombewa nakuhagaika Tatizo lake Bila mafanikio.
SI KILA TATIZO LINALOKUSUMBUA LAITAJI MAOMBI Ni Somo lenye Ufahamu na Maarifa ya Kukusaidia wewe Kama Mtoto wa Mungu namna ya Kutatua Changamoto Ambazo Zinakutesa
Mimi Ni Mtumishi wa Bwana Yesu Pastor Richard NIPO MOROGORO VETA DAKAWA WhatsApp number+255759861768 Kwa msaada we Kiroho Piga Jioni saa12;00
NINI MAANA YA SIO KILA TATIZO LITATOKA KWA MAOMBI?
Ni kukanusha Usemi wa Kutengemea Kuvuka Changamoto mbalimbali kwa Maombi Peke Yake hapana.
LENGO LA SOMO👉🏿Kuokoa Taifa la Mungu liloamua KUTEMBEA na Bwana
MAONO YA SOMO👉🏿Kumjenga Kiimani na kumvusha kila mmoja asomaye.
MATATIZO YOTE HAYAWEZI KUTOKA KWA KUOMBEWA TU AU KUFUNDISHWA NENO LA MUNGU.
Kuna sehemu Kuu mbili za Mtu Kuponywa matatizo Yake akiona hajaponywa kwa njia Moja ujue ya pili itamfungua Tu Njia hizo Ni hizi chini nitazifafanua.
1: UFAHAMU; ni Hali ya Yule mtu kulijua Tatizo lake linalomtesa
2: MAARIFA; Ni Hali ya Yule Mtu Kuwa na mbinu ya Kulitatua lile Tatizo.
🙏🙏🙏 UFAHAMU 💪💪💪
Ufahamu Ni kiungo kinachopatikana ndani ya Akili au ubongo wa mtu unaomshughulisha mtu kujua Tatizo la matatizo Nini mpaka ANATESEKA.
MAMBO AMBAYO UFAHAMU HUKUONGOZA ILI UJUE TATIZO
Huwa Ni MAOMBI au KWENDA KUOMBEWA
MAOMBI huongozwa na Roho wa Ufahamu ndani ya mtu njisi ya Kuomba na Kupangilia maneno Yake ndani ya Kuomba kwake Atakuja Kujua Nini kilichomtesa Roho husema nae Yule Mtu akiwa anashughulika Nakuomba Kuombea Tatizo lake na Anakuja Anapona.
KATIKA UPONYAJI WA UFAHAMU Huhusisha mtu AFANYE Mambo Matatu MWENYEWE
1:Maombi(Omba)
2:Msamaha(Wasamehe)
3:Dhabihu(Sadaka)
Haya Mambo Matatu humfanya mtu Apone yule Mtu aliyepangiwa Atapona Kwa Maombi
🥦🥦MAARIFA🥦🥦
Maarifa Ni Ujuzi na Tekiniki Mbalimbali Kuzijua za Kumpiga Shetani UTATUZI HUU WA KUTATUA MATATIZO YAKO YAITAJI MAFUNDISHO YA WEWE JINSI YA KUKABILIANA NA TATIZO.
UPONYAJI HUU Huwa na gharama ya Muda Mali kumpata Mchungaji au mtu wa kukufundisha wewe kiroho inapotokea huwezi Kuyatafuta Maarifa Huwa mtu Anaendelea Kuteseka Kwa Kuwa Tatizo lake linaisha mpaka Amuone Mtumishi Akae chini ya miguu Yake amfundishe. Kama wewe mwenyewe hauna Muda Ni ngumu Kutoka kwenye Tatizo.
🥦🥦MAMBO UTAKAYO YA FANYA ILI UPATE UPONYAJI WA MAARIFA
1;Yatafute Maarifa Maarifa Huwa hayamtafuti mtu.
(Ingia shule Ufundishwe au Jinsi yakupata ujuzi was kazi hiyo.
2:Utamfata Mtu wa Kukufundisha Sio Yeye atakufata ukikaa nyumbani unatengemea Wachungaji waje wanakufundisha nyumbani au waalimu waje huwezi KUPONA.
3: Ukombozi huu wa Maarifa huhitaji mtu mwenye akubali Kuwa na Maarifa na kuongozwa na Maarifa.
4:Muombee Mungu Akupe Maarifa
🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦🥦
UTAKAA CHINI YA.
1;Maombi
2: Mafundisho
3:Imani
Haya Yataongeza Maarifa na mbinu mbalimbali zakujua Tatizo lako.
FAIDA YA KUWA NA UFAHAMU JUU YA TATIZO LAKO.
1;Itakusaidia Kuliombea vizuri Tatizo lako
2:Utapokea majibu haraka
3:Utateseka huku unajua kinachokutesa
4:Utasimama na Mungu Kumtegemea ZAIDI.
5:Utajitoa na Kuwa Mwaminifu Kwa Mungu.
HASARA ZAKE NJIA HII.
1;Utaponywa matatizo baadhi tu au hutaponywa kabisa.
2:Utakosa mbinu za Kulitatua Tatizo lako
3:Unaweza Kubadilika au Usibadilike kwa Kukosa mzizi.
4:Huwa Ni rahisi kukamatwa na Adui kwa Kuwa hauna imani
5: Utafunga Nakuomba bila Matokeo.
FAIDA YA KUWA NA MAARIFA.
1:Utatua matatizo mengi kwa Kuwa umefundishwa
2:Utainuliwa nakufanikiwa kwakua kazi zako zitaongozwa na Maarifa na Ufahamu
3;Utamiliki Vyote Ufahamu na maarifa Hekima
4;Utaomba uku unajua Jinsi yakutoka kwenye shida hiyo
5:UTAKUWA Kiimani nakuongezeka katika viwango vikubwa.
Maoni
Chapisha Maoni