SOMO; KUKATA TAMAA
SOMO: KUKATA TAMAA INACHELEWESHA MAJIBU ULIOMBA
Tufunue:Ayubu;13;19 Isaya:15:5 Muhubiri:2:20
Naitwa Bishop Richard Nipo Morogoro Veta Dakawa
Simu+255759861768 kuongea nae Jioni saa 12 00
Kukata Tamaa huwa Ni Asili Ya Shetani Moja ya Silaha anazozitumia Kumnasa mtu aliyekosa Ujasiri wa Kiimani. Shetani huadaa mazingira ya Upizani mbele yako ili Ifikie hatua Useme MUNGU AMENIACHA MIMI HIVI. kumbe kiukweli Hali hii Mapepo Majini wachawi na waganga humpiga mtu kiroho kwa Siraha Kuu Tatu
1;Hasira
2;Hofu
3:Kukata Tamaa
UKIWEZA TU KUMPIGA shetani KWA SIRAHA HIZI
1:Hasira wewe Panda Upendo tu.
2:Hofu wewe Tumia Siraha ya Imani moyo JASIRI
3:Kukata Tamaa wewe Panda mataranjio au Matumaini utapata.
UTAKUWA MSHINDI UKISIMAMA HIVYO TU TOFAUTI NA WEWE KUTENGUA SIRAHA ZA SHETANI ATAKUTESA NAKUIMBA HAKI YAKO.
KUKATA TAMAA Ni Kukosa Ujasiri wa Kuendelea..
Muhubiri : Mlango 2;20 Kwa hiyo nikageuka kukata tamaa moyoni mwangu juu ya kazi yangu yote niliyojishughulisha nayo chini ya jua.
MAZINGIRA ANAYOTUMIA SHETANI KUMKATISHA TAMAA MTU.
1: Magonjwa yasiyo Isha au Kutatuliwa.
2: Mahusiano yasiyodumu katika Pendo
3: MAJIBU YA MAOMBI KUCHELEWA
4:UMRI MAJIRA NA WATU
5;KUKOSA MSAADA WA KIROHO
6;KUKOSA UJASIRI
UFANYE NINI ILI USIKATE TAMAA.
1;Jiaminishe Mwenyewe IPO siku
2;Usiruhusu Mtu akatumia Udhaifu wako wakukata Tamaa kukufanya ukosane na Mungu. Mfano; Bint kachelewa Kuolewa anakutana kijana anamwambia uzini nami au nizalie kwakua nawe umri umeenda unazini kisa usipozini hatakuoa. Huo Ni Kukosa moyo JASIRI
3:Usihesabu majira umri ukasema umri umeenda Futa hiyo
4:Kuwa JASIRI Kuutatua Wakati wa Changamoto kwa Kuomba nakusimama kidente na Yesu
5:Linda Uhusiano wako na Mungu Shetani asikuambie MUNGU hawezi.
6:SoMo;Moyo ULIOKOSA ujasiri nguvu ya imani Nk Yasome Sana hapa www.mchungajirichardi.blogspot.com
HASARA ZA KUKATA TAMAA
1:KUCHELEWA KUJIBIWA
2:KUTESEKA NA MENGINE KUONGEZEKA
3:KUACHA MAOMBI NA KANISA
4:KUCHUKIA HABARI ZA MUNGU
5;Kufa Kiroho
FAIDA ANAZOZIPATA SHETANI KWA MTU ALIYEKATA TAMAA.
1:Atamtumia kuwavunja moyo wegine
2;Atamtumia Kuhubiri Madhaifu nakuwaambia watu Mimi nilishaombewa Sana
Wapi nilienda Kuponea kwa mganga Fulani Kwa hiyo Utawafanya watu wafate Shetani na SI uweza wa Mungu.
3:Atakutumia Kuwavisha wegine roho ya kukata Tamaa Kama unarafiki Ndugu mdogo wako. Ukikaa na mtu aliyejikatia Tamaa nawewe unakata tamaa.
4:Atakutumia uzidi kufanya Dhambi na Kuchukia Uso wa Mungu
5;Atakutumia Kuwa Wakala wake sababu Shetani na majeshi Yake huwa yakushindwa tu.
Naitwa Pastor Richard
Simu ya kuongea nae Jioni saa 12:00
Simu+255759861768
Maoni
Chapisha Maoni